Kaka kuruhusu tu yule mbunge mmoja aingie bungeni ni kuyatambua matokeoKaka kazi ya kwanza waliyonayo chadema ni kuyatambua matokeo ya uchaguzi 2020
Zingine ni sarakasi tu za siasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kuruhusu tu yule mbunge mmoja aingie bungeni ni kuyatambua matokeoKaka kazi ya kwanza waliyonayo chadema ni kuyatambua matokeo ya uchaguzi 2020
Ni kama una magonjwa ya akili, hivi kama CHADEMA wangewarubuni na kuyafanya CCM waliyoyafanya kwa wanachama 19 ingechukua hatua gani?Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge haio wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta masuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwwnda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge.
Mbowe naye alilukosea Taifa siyo Mh Rais.Akina mdee wamekikosea chama na sio wamemkosea mbowe. Msamaha wao utatolewa na chama na sio mbowe
Hakuna wabunge 19. Ni batili. Mbona vijana mnashindwa hata uelewa mdogo mazito tutaelewana kweli? Ni aibu.Nadhan kama hawatambui uchaguzi wa 2020 ni vizuri pia hata yule mbunge asitambuliwe pia
Maana kumtambua yule mmoja ni sawa a kukinzana na maneno yao wenyewe juu ya uchaguzi mkuu uliopita
Na hapa ndio ninapoona tofauti ya siasa za Tanzania na nchi zingine waliotuzidi ukomavu wa kisiasa
Huwezi kupinga uchaguzi kwa kukataa wabunge 19 wasiende bungeni ila ukakubali mmoja aende bungeni
Huo utakuwa ni unafiki na kuwapeleka wafuasi wasiojielewa
Kama wamekubali mbunge mmoja aingie bungeni ni sawa na kuukubali uchaguzi wa 2020.
Kwa uelewa huo huwezi kumlaumu mwizi kwa kutokea dirishani. Utadai alitakiwa atokee mlangoni!Kaka kuruhusu tu yule mbunge mmoja aingie bungeni ni kuyatambua matokeo
Zingine ni sarakasi tu za siasa.
Mzee Halima tulize wengeChadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge haio wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta masuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwwnda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge.
Mbowe hakuna aliyemsamehe.. waliona aibu waliyoipata kwenye ndogo, wakaona wasije aibika zaidi kwenye kesi kubwaChadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge haio wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta masuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwwnda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge.
Nyerere kusamehe magaidi haihalalishi kuwa magaidi yanapaswa kusamehewa.Two wrongs don't make a right.Changamoto kubwa tulionayo hapa JF sasa hivi ni members wengi kuwa na utapiamlo wa akili kama wewe.Hata Hanspope (RIP) na lugakingira walisamehewa na Nyerere. Hata utumie lugha gani Mama amemtoa Mbowe mahabusu.
Je alichukuliwa hatua zozote za kinidhamu.Yule pia hakuruhusiwa bali alikwenda mwenyewe kuapa.
Mbowe ndio chadema na chadema ndio mbowe!Akina mdee wamekikosea chama na sio wamemkosea mbowe. Msamaha wao utatolewa na chama na sio mbowe
Umeelewa hoja yangu lakini au unajibu tu ili kuteteaHakuna wabunge 19. Ni batili. Mbona vijana mnashindwa hata uelewa mdogo mazito tutaelewana kweli? Ni aibu.
Mbowe mwenyewe akiona hii coment yako atacheka sanaUlipoharibu kabisa ni kusema kuwa eti Rais Samia amemsamehe Mbowe. Amemsamehe, kwani Mbowe amekosa nini?
Katika Mbowe kutoka mahabusu, kuna mahali popote imetamkwa kuwa Mbowe amesamehewa?
Kinachofahamika ni kuwa yale maharamia yaliyombambikia kesi Mbowe, baada ya sauti za wapenda haki mbalimbali kuzidi, na kibano cha nchi za Ulaya, yaliona aibu na kuamua kuachana na kesi ya kutengeneza dhidi ya Mbowe.
Mbna unazunguuka mbuyu haujibu hoja.Kwa uelewa huo huwezi kumlaumu mwizi kwa kutokea dirishani. Utadai alitakiwa atokee mlangoni!
Ulitaka aseme tumeombana msamaha?Jana nilikuwa naangalia mahojiano ya Samia na Kikeke BBC, Samia kakiri binafsi yeye kwa kinywa chake kwamba kwenye sakata la Mbowe hakuna aliyemwomba mwenzake msamaha.