Chadema iwasamehe covid 19 busara itumike ili wakijenge chama upyaAkina mbowe walikuwa wanataka hata yule mbunge aliyeshinda jimboni nkasi nae asiende bungeni, hii sio sawa kwakuwa tangu uchaguzi wa 1995 hadi wa 2020 malalamiko ya upinzani ni kuibiwa kura na tume lakini wabunge hawajawahi kuacha kwenda bungeni, labda tofauti pekee kwa uchaguzi wa 2020 ni wanaume wote wakiwemo Mbowe, Sugu, Msigwa, Joseph, nk hawakutangazwa kushinda uchaguzi. Labda hii ndiyo sababu ya chadema kusema hakuna mbunge kwenda bungeni safari hii. Ubinafsi.
Naona unamaslah na hao wabunge si bure. unauhakika Mbowe kasamehewa?? Au jamhuri imeona kësi haina mashiko na maslah Kwa taifaChadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge haio wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta masuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwwnda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge.
Kwani wenyewe wameomba msamaha ndo umetumwa wewe?Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta mpasuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwenda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge, wangekwenda bungeni.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge. Ukubwa wa Chama inaonekana katika nyakati kama hizi.
Kwahiyo hata kwenda chooni anatumwa na chadema?Kusema hivyo ni sawa na kusema sio Rais Samia aliyemsamehe mbowe bali ni Tanzania iliyomsamehe. Huna uelewa Moana. Mbona Mbowe alikwenda ikulu kuitikia wito wa Rais bila kupata idhini ya chadema?
Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta mpasuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwenda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge, wangekwenda bungeni.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge. Ukubwa wa Chama inaonekana katika nyakati kama hizi.
Chama kilisusia matokeo hivyo hizo nafasi zingepotea bure kwenda CCM, ndiyo mlivyokuwa mnataka? Ni kweli wamekosea lakini walinasa kwenye mtego mgumu kuukwepa na kuona. CCM walitaka waonekana kama bunge sio la Chama kimoja mbele ya mabeberu wenye misaada, akina Halima wanaopambana na women empowerment na Chama kina misimano yake.Akina mdee wamekikosea chama na sio wamemkosea mbowe. Msamaha wao utatolewa na chama na sio mbowe
Mbowe hajawahi kuomba msamaha sababu hukutenda kosa lolote, hao COVID-19 hawajawahi kukiomba msamaha chama na watz kwa ujumla kwahiyo hawastahili msamahaChadema iwasamehe covid 19 busara itumike ili wakijenge chama upya
Ulipozingua ni hapa. Sasa asitumie sheeia kanuni wala taratibu bali hekima na busara tu.Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta mpasuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwenda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge, wangekwenda bungeni.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge. Ukubwa wa Chama inaonekana katika nyakati kama hizi.
Hayo unayaongea umeyatoa wapi wakati kwenye account zao wote hayapo hayo?Chama kilisusia matokeo hivyo hizo nafasi zingepotea bure kwenda CCM, ndiyo mlivyokuwa mnataka? Ni kweli wamekosea lakini walinasa kwenye mtego mgumu kuukwepa na kuona. CCM walitaka waonekana kama bunge sio la Chama kimoja mbele ya mabeberu wenye misaada, akina Halima wanaopambana na women empowerment na Chama kina misimano yake.
Tuwasamehe kwakuwa uongozi Sasa ni mpya, JPM na Ndugai hawapo, mbowe amesamehewa na mama na Lissu kaomba kwa mama arejeshewe mafao yake, Kuna nini tena hapo?
Mbiwe hajasamehewa na Rais bali DPP ameona hawezi kuendelea na kesi. Covid 19 wamekosea sana hawafai kusamehewa maana hata Mbowe angekutwa na hatia sidhani kama angesamehewa.Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta mpasuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwenda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge, wangekwenda bungeni.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge. Ukubwa wa Chama inaonekana katika nyakati kama hizi.
Mbowe hajaomba msamaha kosa la ugaidi lakini amepewa msamaha, kwani akina Mdee kosa lao ni nini lisilostahili msamaha? Tuache chuki hiki Chama ni kikubwa sana.Mbowe hajawahi kuomba msamaha sababu hukutenda kosa lolote, hao COVID-19 hawajawahi kukiomba msamaha chama na watz kwa ujumla kwahiyo hawastahili msamaha
Kama ni mwanachama haiMbowe hajaomba msamaha kosa la ugaidi lakini amepewa msamaha, kwani akina Mdee kosa lao ni nini lisilostahili msamaha? Tuache chuki hiki Chama ni kikubwa sana.
Ungekua mwanachama usingeuliza swala la makosa ya covid, kwahiyo makosa ya ugaidi yanamsamaha sio?Mbowe hajaomba msamaha kosa la ugaidi lakini amepewa msamaha, kwani akina Mdee kosa lao ni nini lisilostahili msamaha? Tuache chuki hiki Chama ni kikubwa sana.
Mbowe hajaomba msamaha kosa la ugaidi lakini amepewa msamaha, kwani akina Mdee kosa lao ni nini lisilostahili msamaha? Tuache chuki hiki Chama ni kikubwa sana.
Nioneshe neno msamaha hapo
Na hajasamehewaMbiwe hajasamehewa na Rais bali DPP ameona hawezi kuendelea na kesi. Covid 19 wamekosea sana hawafai kusamehewa maana hata Mbowe angekutwa na hatia sidhani kama angesamehewa.
Mbowe alionewa akafungwa kwa kuonewa,hakutenda kosa,hajasamehewa,kwa sababu hakukutwa na hatia,anaesamehewa ni Yule aliekutwa na hatia!kama Mbowe alikuwa na kosa,hukumu yake ni miaka mingspi mpaka apewe msamaha?usipotoshe.hao macovid wametenda kosa,lazima wapate haki yao ya usaliti.Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta mpasuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwenda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge, wangekwenda bungeni.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge. Ukubwa wa Chama inaonekana katika nyakati kama hizi.
Double standards.Mbona yule mbunge mmoja anahudhuria kama kawaida bungeni na hajachukuliwa hatua

Hii haimaanishi kwamba DPP hakupokea maagizo ya kuachana na Kesi hata baada ya mahakama kuwakuta na Kesi ya kujibu. Mahakama ya jamii ulimuona babu na wanawe hawana makosa Lakin mahakama mlimfunga maisha. Lakini jpm alimsamehe. Hata mama ametumia misuli yake kuwasamehe iwe wana kosa la kujibu au la. Ninachofurahi mm ni mbowe kuwa nje pamoja na wenzake kuungana na familia yake. Angeweza kufungwa hata kwa ushahidi wa kuchonga kama mama angetaka iwe hivyo. Kwani akina Mandela walitenda kisa gani hadi wafungwe maisha?