kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta mpasuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake.
Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwenda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge, wangekwenda bungeni.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe.
Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea.
Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge. Ukubwa wa Chama inaonekana katika nyakati kama hizi.