Pre GE2025 Mbowe Usikubali Kuachia Chama Ulichokipigania Kwa Jasho, Damu na Fedha kwa Mhamiaji wa NCCR-Mageuzi, kama ni rahisi Akaanzishe Chake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Thread kama hii in a implications kwamba hapa Tanzania vijana wengi hawajui vision wala mision ya vyama vya siasa. Wanajua vision na mision ya vyama ni maslahi na project za watu.

Lakin kumbe vyama vya siasa ni msingi mkubwa wa Taifa kupata viongozi bora wa kuliongoza Taifa. Na hata katiba mpya tunahitaji vyama viwe vya public sio vya watu binafsi. Kwa hiyo ndugu variable unaonyesha weledi wako ni mdogo sana na upo level ya uchawa. Huna vision wala mission ya kulisaidia taifa kuvuka zaidi ya kuongea tu pumba za kichawa.

Previous kuna MTU ka question kuhusu great thinker wapo wapi? JF was so deep and wide in big discussion of our country in politics and economic. Apparently, MTU anadiscuss na kutoka majasho, kuwa Mbowe usiachie chama ulichokipigania. Hiyo ni discussion ya kimzoga.
 
Chama cha Mtei mkwewe, Mbowe kakikuta miaka ya 90 hakuwemo kwenye siasa kiivyo.
Mwenyewe yuko migombani huko anakula supu tu,na mbuzi choma.
Ruzuku inatafunwa nyie nendeni mkaandamane mkidai katiba mpya.
 
Porojo,hao viongozi ni wapo Kwa maslahi Yao na si vinginevyo
 

Machawa wa CCM awe Mbowe au Lissu misimamo mikali inakuja
 
Nchi ina vilaza wengi sana , kwamba kila aliejenga ghorofa tz hii yupo kwenye payrol ya mfumo ,ujinga mzigo tafuten pesa acheni uchawa uchwara
 
Mbowe amekataa ujinga wa mawakala wa Mabeberu kina Amsterdam 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DD1pnTlKCqJ/?igsh=MTJjM29udHgwZHF2dg==
 
Kwahiyo Nyerere mwaka 1985 na 1990 alikubali kuachia nchi na chama ambacho alikipigania kwa jasho na damu alafu wala hakumkumbuka mwanae Makongoro. Hivi yule mwamba kwanini alfanya hivyo? Nimejiuliza embu nijijibu

Nafikiri alitaka nchi na chama viwe mali ya watanzania siyo ya familia yake. Kwahiyo yote aliyoyafanya aliyafanya kwa ajili ya watanzania. Dah yule mwamba alishindwa hata kujitajirisha
 
Hakuachia vibaka Wala vibaraka wa kina Amsterdam πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DD2dmbkssb-/?igsh=bzkzM215MjA2N2sx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…