Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Basi sasa waache kuhubiri democ6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.
Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?
Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?
Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19
My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.
Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.
Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.
View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19
Ang'atuke kwenda wapi na ili iwaje? Akipata mtu sahihi wa kukuachia chaka atang'atuka.
Porojo,hao viongozi ni wapo Kwa maslahi Yao na si vinginevyoThread kama hii in a implications kwamba hapa Tanzania vijana wengi hawajui vision wala mision ya vyama vya siasa. Wanajua vision na mision ya vyama ni maslahi na project za watu.
Lakin kumbe vyama vya siasa ni msingi mkubwa wa Taifa kupata viongozi bora wa kuliongoza Taifa. Na hata katiba mpya tunahitaji vyama viwe vya public sio vya watu binafsi. Kwa hiyo ndugu variable unaonyesha weledi wako ni mdogo sana na upo level ya uchawa. Huna vision wala mission ya kulisaidia taifa kuvuka zaidi ya kuongea tu pumba za kichawa.
Previous kuna MTU ka question kuhusu great thinker wapo wapi? JF was so deep and wide in big discussion of our country in politics and economic. Apparently, MTU anadiscuss na kutoka majasho, kuwa Mbowe usiachie chama ulichokipigania. Hiyo ni discussion ya kimzoga.
Machawa ya ccm yatakufa mdomo wazi safari hii,
Hiyo haiondoi ukweli kuwa zama za Mbowe zimeisha. Umesahau pia Lipumba alishinda akiwa CUF? Uliona kilichoipata CUF baada ya Maalim Seif kuondoka? Zama za siasa za kulindwa na machawa zimepita boss.
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.
Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?
Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?
Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19
My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.
Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.
Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.
View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19
Hiyo misimamo mikali ya kumkomolea nani wakati CCM ndio Ina rungu 😆😆😆Machawa wa CCM awe Mbowe au Lissu misimamo mikali inakuja
Anajua kabisa hawezi shinda 👇👇Kwa ccm wakisikia lissu kashinda uwenyekiti wa chadema, hawatalala
Wewe mdomo wako itakuaje? 😆😆👇👇Machawa ya ccm yatakufa mdomo wazi safari hii,
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.
Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?
Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?
Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19
My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.
Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.
Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.
View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19
Au siyo? 😆😆😆👇👇Machawa ya ccm yatakufa mdomo wazi safari hii,
Hakuachia vibaka Wala vibaraka wa kina Amsterdam 👇👇Kwahiyo Nyerere mwaka 1985 na 1990 alikubali kuachia nchi na chama ambacho alikipigania kwa jasho na damu alafu wala hakumkumbuka mwanae Makongoro. Hivi yule mwamba kwanini alfanya hivyo? Nimejiuliza embu nijijibu
Nafikiri alitaka nchi na chama viwe mali ya watanzania siyo ya familia yake. Kwahiyo yote aliyoyafanya aliyafanya kwa ajili ya watanzania. Dah yule mwamba alishindwa hata kujitajirisha