Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
migambo wanaruka na kukanyagana 🤣Huyu utamwaminije? Msikilize hapa
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Lisu ana tamaa na uchu wa madaraka ya kulevya sana ndrugu zangu.
hata hivyo,
mabwenyenye ya magharibi yamemshinikiza agombee uenyekiti ile fedha na miamala watakayomtumia ifikie mikononi mwa chama au taasisi anayoiongoza yeye.
Vinginevyo wamemwambia hawataweza kumfadhili huku fedha zifikie kwa mtu mwingine ndiyo ampatie yeye.
Pia walimuhoji, kwamba si ulituambia kwamba wewe ni infuencial sana Tanzania, kulikoni unagombea umakamu mwenyekiti badala ya uenyekiti?
External forces na tamaa vimemfanya awe na pupa na hivyo anakwenda kukosa vyote 🐒