Mbowe usikubali kumkabidhi Lissu chama! Kama mbaya, mbaya!

Mbowe usikubali kumkabidhi Lissu chama! Kama mbaya, mbaya!

Wewe kidampa na chawa wa Samia unapata wapi uhalali wa kuyasemea mambo ya Chadema? Lissu ametia nia na anakwenda kuchukua form kuomba kugombea uenyekiti hivyo ni jukumu na wajibu wa wanachadema na wapiga kura kumtathmini na wakiona anafaa kuongoza watampa kura na atakuwa mwenyekiti sasa mpuuzi wewe tena chawa wa Samia una nguvu gani kuzuia Tundu Lissu asiwe mwenyekiti? Nakuona unatoa povu na kumkashifu Tundu Lissu hivi wewe na uchawa wako huo unaweza kufika hata 1% ya uwezo na IQ ya Lissu? Hebu endelea na upuuzi wako wa kusifia lichama lako la majizi ya kura waache Chadema wafanye yao, jitahidi watu wasizidi kukudharau humu na kugundua kuwa huna akili kabisa.
Hakuna mwana CHADEMA mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura lissu ya kuwa Mwenyekiti
 
Back
Top Bottom