Hiyo kitu unayotumia acha inakufanya uonekane juha,wizi wa kura na kuenguliwa kwa wapinzani hukuona evidence?EVIDENCE? EVIDENCE EVIDENCE siyo kuropoka tu!
Mchaga kama anataka kuheshimika aachie chama kwa mtu mwingine kama hamtaki TALKwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF DEFENCE (MSEMO WAKO)
Lisu ni hafai kuwa mwenyekiti wa chama Chochote Cha siasaKwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF DEFENCE (MSEMO WAKO)
Ila kumbagaza Lissu hujakemea maana umeoendezwa nayo, you are deludedWala hakuna anayebishana kwasababu hivi vyama vilianzishwa na watu na vitapita.Ninachokisema mimi ni kumbagaza mbowe bila ushahidi kwa mambo yanayozungumzwa na wapinzani wake.Hiyo sio sawa kwa mtu anayejielewa.mtu ahukumiwe kwa haki.Uko kwenye kura wahusika watajua wenyewe kwasababu hizo ni siasa tu na zitapita.
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF DEFENCE (MSEMO WAKO)
Naona John Heche amechafua kabisa hali ya hewa baada ya kutangaza kugombea, na pia kumuunga mkono Lissu.
Hapa ni akili na mtazamo tu, kwako kuita spade a spade ni kuropoka. Inawezekana mazungira ya makuzi ni jamii ya wanafiki kiasi hawa wezi wa kura wabembelezwe kama anavyowabembeleza Mbowe ambaye ameshtukiwa yupo kwa maslahi ya CCM.Laurent sisi tunaona mbali, far sighted....... hakuna uchawa , Mbowe hanpii chochote na sipati chochote toka chadema as an indiviual. Ni ie kazi ya chadema kutafuta hali bora za vizazi vyetu.
Utachanganyikiwaje kwa issue hizi za vyama?
Lisu kwa kuropoka kwake hiki chama watakifuta....................na ataongezewa risasi zingine...... Why? atajiona ana platform ya kumbagaza samia na watammaliza na hakuna ndege ya nairobi. (siombei haya mabaya, but can predict what might happen )
LISU ANAHITAJI JUU YAKE KUWEPO NA MTU WA KUMTHIBITI/KUMPOZA, SHORT OF THAT.......
Msiwe short-sighted! .
Then show maturity onyesha tofauti kati yako na akina Ntobi na Yericho NyerereFine for your information..... nilimaliza UDSM 1983...siwezi kuwa nakula kwa Mbowe/chadema....you can guess my age!
Kwa kupractise haki yake ya kugombea uenyekiti?Chama anakiua Lisu..not Mbowe..
I disappointed you by not supporting Mbowe?!JF hatujuani, you can only assess somebody's analytical ability from his/her postings on this forum! And I have "known" you for a while and built an image that your analytical powers are high! !
Tindo, I thought you were different from most JF members! I am very much disappointed!
Have a nice day!
Unajua Lisu amesema mwenyekiti wake ni muongo kwa uongo wa mara ngapi?Neno muongo ni neno sahihi ila lina bad connotation, kumuita mtu muongo inaonekana ni habitual layer, ukisema hakuwa sahihi unamaanisha ni mkweli ila hapo ndio amekosea.
Ni kama demu wako kuchepuka mara moja tuu, huwezi kumwita malaya, utamuita amekosa auaminifu, kumwita malaya maana yake ni tabia na kjiuza!.
P
Kumbe huyu mchaga😱😳nimegundua sababu iliyomfanya akafungia akili kwenye sanduku kuja kumpiga vita mnyaturu anayeona amekuja haribu himaya ya wachagaKikundi cha Wachaga mliojitolea vs Mnyaturu mmoja 🔥🔥🔥
Ukienda mtaani anatajwa lissu tu, mbowe aachie uongoziHuyo Museveni ataumbuka awamu hii, huku mashinani kapoteza uungwaji mkono kwa kiwango kikubwa mno
Haya maneno hayawezi kutoka kwa mtu ambaye yuko vizuri upstairs, no wonder unamsapoti MboweHili nalo taka taka tu! hatukulijua....... safari hii hakuna nairobi,litaishia muhimbili
Mzee Pascal Mayalla umekosa mfano mwingine ambao ungeeleweka kwa urahisi zaidi ya huu ?...Ni kama demu wako kuchepuka mara moja tuu, huwezi kumwita malaya, utamuita amekosa auaminifu, kumwita malaya maana yake ni tabia na kjiuza!.
P
Risala ndefu lakini ni rubbish, Lissu kugombea kakosea wanaomkashifu na kumtolea shutuma haki ila yeye kujibu nongwa.Lissu alikua kakaa sehemu nzuri ya kushinda au siku moja kuongoza CDM au hata TAIFA.Lkn kwa jinsi wapambe walivyomuingiza mkenge hawezi ataleta mpasuko.
Staili yake ya sasa ya kujifanya utafikiri yeye sio sehemu ya CHADEMA, kwamba yaliyokuwa yanafanyika humo yeye hayajui. Hasemi kwa mafasi yake alifanya nini kama kiongozi katika kurekebisha au kujaribu kuweka mambo sawa NA HAPO NDO ANGETOKEA.Lkn sio yeye ndo system yenyewe ya Chadema, kiongozi wa kamati ya maadili halafu hachukui hatua abasubiri kuja kusema majukwaani.
Hakuna mtu, taifa, chama, kampuni ambayo haina matatizo au hakuna kiongozi na mtu yoyote duniani hapa kanyooka kama ruler.
Lissu ni opportunitic, mbinafsi na msaliti - HATUWEZI kuwa na Rais kama huyu..atakuwa anakataa accountability ya vyombo vyake kwa kukaa pembeni na kujifanya yeye msafi.
Huwezi leo hii ukamsikia Mama Samia anakaa 24 hrs akilinanga jeshi la polisi - sababu yeye ni sehemu - anahusika nalo - kulisema as if alimuhusu ni ukichaa..anachoweza kufanya ni kujitahidi kurekebisha na hata akisema anasema kwa hekima na tahadhari - NDIO UONGOZI HUO.
Huwezi ukamsikia Trump au kiongozi yoyote wa kitaifa wa US akilisena jeshi lao licha ya shutuma kibao.
Huwezi ukamskia Netanyahu anawasema wanayeshi wake na kuwakandia mwanzo mwisho licha ta mauaji wanayofanya gaza.
Huwezi ukamsikia Dr.Nchimbi akimsema mwenyekiti wake au viongozi wenzake...hadharani..au unafikiri. CCM wamenyooka.
Nape,Kinana & Makamba walikuwa wanamsema JPM privately - sirini, isingekuwa kuingiliwa kwenye privacy yao watu baki wasingejua..lkn walikua na uwezo wa kuandika mapungufu yake mitandaoni etc...na ingekuwa na impact kubwa na hatari zaidi.
Hatuwasemi watoto wetu, wanafamilia wetu, wake zetu hadharani hata kama kuna ugomvi au mapungufu kiasi gani.
Lissu kwa hichi alichofanya kachemsha na hata akishinda atapasua chama..Huwezi kuwa commander in chief unapata taarifa zote kuhusu watu, mapungufu etc..then uwe na kifua chepesi ah fridge lako haligandishi - Kwanza utasumbua watu pili utakufa kwa presha na kihoro.
With due respect namba kutofautiana nawe, kauli matamko na maneno wanayotoa team Mbowe akina Paul Ntobi, Yericho Nyerere na akina Wenje dhidi ya Lissu si ya heshima hata kidogo. Kama Mbowe angekuwa hahusiki angekemea au kujitenga nao, lakini kakaa kimya ina maana anahusika na matendo yao.Hili la kumwita bosi wake muongo... Sio kabisa!. Huku ni kumtukana Mwenyekiti, kuna lugha za kutumia mfano kusema Mbowe hayuko sahihi sio kumuita muongo!.
P
Bora kwanza CHADEMA ijisafishe wabaki wale wenye nia ya dhati ya kuipeleka mbele CHADEMA. Sikiliza hoja zake halafu uzijibu, wewe unapreset mind kwamba ni vibaya kusema kweli.Hii tabia ya Lissu kuwa ropo ropo ni a very bad liability kwa kiongozi!. Anahitaji civility!. Hebu msikie hapa, anawaita wenzake wajinga!. Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
View: https://youtu.be/Qa59DIQs2yIAnajua huyo anayeitwa mjinga ni nani?.
Ila huu uropo ropo wa Lissu, japo ni a bad liability kwa kiongozi, ndio asset ya kuibamiza CCM na kuiingiza Chadema ikulu kwa kura za GenZii. Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
Wakati huu wa uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura, ukiendelea, huu ndio ungekuwa wa amsha amsha GenZii wajiandikishe kwa wingi kwenye daftari, lakini Chadema viongozi wako busy kutukanana na kupigana vijembe, muda wa uchaguzi ukifika, mikutano yao inajaa nyomi za watu, GenZii, lakini siku ya kupiga kura, hawaonekani!, kumbe hawakujiandikisha!.
P