Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Walitesa sana na kuonea makabila mengine maofisini kwa kupendeleana kwenye kila kitu kuanzia ajira,tenda nk

Mungu akamtumia Magufuli kujibu kilio cha wanyonge makabila mengine walioonewa nao
Kuna wachaga wengi sana ni makada wa CCM na waliokuwa mashabiki wakubwa wa Magufuli. Wako hata waliofariki kwa kukanyagwa kanyagwa wakati wa kuaga mwili wake uwanjani DSM.

Viongozi wa serikali mkoa wa Kilimanjaro wote ni CCM. Waulizwe kuhusu huo ubaya wa kabila lao unaolalamikiwa sana tangu Magufuli akiwa hai hadi sasa kiasi cha kuona uhalali wa serikali kuwatendea vibaya watu wa mkoa huo ili “kuwanyoosha”.

Ieleweke CHADEMA si wawakilishi wa Wachaga au watu wote wa Kilimanjaro. Si sawa kuelekeza chuki kwa chama hicho kwa wachaga wote. Ironically ndio ubaguzi wenyewe mnaodai kuupiga vita.
 
Mbowe anapoteza muda kuongelea issue zisizo na msingi kwasasa, ongelea katiba acha kupoteza muda mjomba.
 
Kuna wachaga wengi sana ni makada wa CCM na waliokuwa mashabiki wakubwa wa Magufuli. Wako hata waliofariki kwa kukanyagwa kanyagwa wakati wa kuaga mwili wake uwanjani DSM.

Viongozi wa serikali mkoa wa Kilimanjaro wote ni CCM. Waulizwe kuhusu huo ubaya wa kabila lao unaolalamikiwa sana tangu Magufuli akiwa hai hadi sasa kiasi cha kuona uhalali wa serikali kuwatendea vibaya watu wa mkoa huo ili “kuwanyoosha”.

Ieleweke CHADEMA si wawakilishi wa Wachaga au watu wote wa Kilimanjaro. Si sawa kuelekeza chuki kwa chama hicho kwa wachaga wote. Ironically ndio ubaguzi wenyewe mnaodai kuupiga vita.
Siyo Wachagga wote Ni CHADEMA. Ila CHADEMA wengi Ni Wachagga na ndio first class ndani ya chama.
 
Kama kiongozi mkubwa wa chama na unatarajia kugombea urais wa nchi hizi so kauli za kutamka..it means tukikuamini na kukupa nchi tusio wachaga na waarusha hatuna chetu...maana ni dhahiri kuwa utajali maslahi ya hao wachaga na waarusha Kwanza...PIGA X
 
Arusha na Kilimanjaro kuwa ngome ya Chadema kuliwafanya wanyooshwe, yule jamaa alikuwa akipenda watu wanaomsujudia wakati wote na wale walioonesha upinzani kwake alikuwa tayari kuwanyoosha kwa njia yoyote.

Sabaya in particular na lile genge lake haramu, huyu aliachiwa uhuru wa kuwanyoosha wapinzani waliokuwa na misimamo, sidhani kama mikoa mingine nayo ilikuwa na "Sabaya" wao zaidi ya Kilimanjaro na Arusha.
Hata mbeya nako alikuwa na bifu nako kumbuka ile zomea zomea kipindi cha kampeni kwa jiwe kisasi ilikuwa lazima.
 
Hata mbeya nako alikuwa na bifu nako kumbuka ile zomea zomea kipindi cha kampeni kwa jiwe kisasi ilikuwa lazima.
Yaani watu wa mbeya na tarime huwa mnatamani kabisa kubadili hadi KABILA muwe wachagga Ni basi tu mmeshindwa🤣🤣

Screenshot_2022-03-20-10-37-18-753_com.twitter.android.png
 
Kama kiongozi mkubwa wa chama na unatarajia kugombea urais wa nchi hizi so kauli za kutamka..it means tukikuamini na kukupa nchi tusio wachaga na waarusha hatuna chetu...maana ni dhahiri kuwa utajali maslahi ya hao wachaga na waarusha Kwanza...PIGA X
Unafiki bhana ila kwa jiwe uliona ni sahihi na mkampa jina la jembe,Mbowe anachosema kina funzo kwa wanasiasa waliopo na wajao aonewe halafu akae kimya?!
 
Mbona Nyerere anazungumzwa kila siku kwa zaidi ya miaka 30 kwa rekodi yake!

Katika kumtendea haki, reko yake katika ; Utu, Haki, Uhuru wa Wananchi, vyombo vya habari, Umoja wa Kitaifa, mashirikiano ya kimataifa, Uzalendo n.k. vijadiliwe kwa uwazi
Hatuwezi kuishi na kauli za flyover na SGR kama rekodi yake, la hasha! tujadili kwa ujumla

Tujue kama yalifanywa kwa yeye kutojua, kwa kukosa kujali au sehemu yake.

Neno!

Tunatakiwa tujifunze kama Taifa kupitia Historia za viongozi wetu wote akiwemo yeye
Nyerere kila siku anasemwa , Magufuli aliyekuwa kiongozi wetu hana tofauti , reko yake iwekwe sawa bila kumuonea au kumhurumia. Muda wa kudanganyana na flyover umekwisha sasa twenda na rekodi
100% correct.

Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi mzuri. Asiyetaka kuelewa, aamue tu kutoelewa lakini ufafanuzi unatosheleza kwa mtu yeyote hata mwenye akili ndogo kuelewa.
 
Dah... Nashangaa akili sana zenu....JPM is dead.....hayupo....na hata gombea uraisi....Sasa mbona mnapoteza muda kupambana na marehemu? Badala ya kutumia muda huu kupanga mikakati ya kuing'oa ccm madarakani? Au siyo lengo Sasa hivi kwasababu mmekaa karibu na bakuli la supu? Au ndiyo "shukrani" ? Kwa Mila za kiafrika kumsema vibaya marehemu Ni kujitafutia nuksi katika maisha.....na hizi "shukrani" zitamtokea mtu puani...kiasili tu...kikubwa pumzi[emoji2960]
Hitler aliishi nyakati ambazo hatukuwepo, lakini mpaka leo anajadiliwa.
 
Kuna wachaga wengi sana ni makada wa CCM na waliokuwa mashabiki wakubwa wa Magufuli. Wako hata waliofariki kwa kukanyagwa kanyagwa wakati wa kuaga mwili wake uwanjani DSM.

Viongozi wa serikali mkoa wa Kilimanjaro wote ni CCM. Waulizwe kuhusu huo ubaya wa kabila lao unaolalamikiwa sana tangu Magufuli akiwa hai hadi sasa kiasi cha kuona uhalali wa serikali kuwatendea vibaya watu wa mkoa huo ili “kuwanyoosha”.

Ieleweke CHADEMA si wawakilishi wa Wachaga au watu wote wa Kilimanjaro. Si sawa kuelekeza chuki kwa chama hicho kwa wachaga wote. Ironically ndio ubaguzi wenyewe mnaodai kuupiga vita.
Na ni upumbavu kuchukia mafanikio ya wenzako,wachaga mafanikio yao ni juhudi zao,kuna mtu mmoja alifurahi tunduma kujitenga na mbeya akidhani uchumi utayumba kimkoa,uswahili mbaya sana.
 
Nasemaga nawachukia wachaga kwasababu ya ukabila wao, wao wangebaguliwa leo wangekuwa wapi, wachaga hawana ardhi ya maana, hawana ziwa wala bahari wavue samaki, hawafugi, leo wangekuwa mafukara mashenzi haya. Wachaga wamshukuru baba wa Taifa kujenga Taifa moja na kukataa ukabila ndio maana leo wamesambaa maeneo mbalimbali ya nchi hii bila kubaguliwa. Wachaga walivyo na ukwashakoo wa akili wakifanikiwa kidogo wanaanza kutukana hata wenyeji waliowapokea. Hebu tuwafundishe somo tuwabague katika maeneo yetu. Hakuna kwenda kununua bidhaa katika duka la mchaga Tanzania nzima wapigwe njaa, kurudi kwao najua hawawezi watakufa njaa hakuna lolote uchagani ni maskini mafukara. Warudi kwao hao wapigwe njaa!!!
Mjinga wewe
 
Ujinga uliopitiliza, Hayupo, ukatili wake unakusumbuaje? Nenda kalipie Tozo, baada ya hapo kumbuka cement imepanda 25k toka 17k
Nyerere hasemwi? Mkapa hasemwi? Sokoine hasemwi?

Kinachokufa ni mwili, matendo yako huishi daima. Wala si ajabu, miaka hata 100 ijayo, Magufuli, kwa yale maovu aliyoyatenda, akaendelea kusemwa kuliko Rais mwingine yeyote. Hitler, nyakati zake, kulikuwepo viongozi mbalimbali Duniani, lakini kutokana na uovu wake, ndiye kiongozi pekee wa nyakati hizo anayenenwa na watu wengi kuliko mwingine yeyote.

Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Samia, watasahaulika, lakini siyo Magufuli. Ni kawaida mtu mwovu kusemwa na kukumbukwa na wengi kuliko mtu mwema.
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Watu wa Kilimanjaro na Arusha , kabla ya Magufuli waliifanya hii nchi kama yao, hawakutegemea kama kuna Rais Mzalendo atakuja kuwanyoosha dhidi ya matendo yao ya kupendeleana + ubaguzi wa kikanda.
 
Arusha na Kilimanjaro kuwa ngome ya Chadema kuliwafanya wanyooshwe, yule jamaa alikuwa akipenda watu wanaomsujudia wakati wote na wale walioonesha upinzani kwake alikuwa tayari kuwanyoosha kwa njia yoyote.

Sabaya in particular na lile genge lake haramu, huyu aliachiwa uhuru wa kuwanyoosha wapinzani waliokuwa na misimamo, sidhani kama mikoa mingine nayo ilikuwa na "Sabaya" wao zaidi ya Kilimanjaro na Arusha.
Miaka yote Arusha na Klm zimekuwa zikitoa wabunge wa CCM wa kutosha, huo ungome ulikuwa na wa mchongo katika harakati zao za kutaka kanda yao itoe Rais wakati huo akiwa edward Lowassa. Sema akili kubwa ikawadhibiti mapema.
 
Hawa watu humu ni waajabu sana. Kusema ukweli na wazi kuwa Magufuli aliharibu hawataki kabisa, lakini utasikia wanasema;
Mama analiponya taifa, jee limeugua wapi? Hawasemi.
Mama anarudisha mahusiano kimataifa, jee yaliharibikia wapi? Hawasemi.
Mama ni mfariji wa kweli, jee nani kawapa dhiki ikastahili mpewe faraja? Hawasemi.
Mama ameleta furaha kwenye taifa, jee hiyo hudhuni kaileta nani? Hawamtaji.

Leo hii ni sherehe kila mahali "siku 365 za Samia" mpaka unajiuliza sherehe hizi za "kupata uhuru" tulikuwa kwa mkoloni yupi? Maana kuna shangwe kubwa kwa wanaccm leo kuliko hata ile ya 9 Desemba. Lakini kusema UKWELI kuwa utawala uliopita ni mbovu sana hawataki kusema. Unafiki mtupu!
Magufuli alipata kusema nyie kaskazini mna maendeleo sasa mtasubiri sana ili wengine nao wayapate! What a statement? Yaani ukusanye kodi kwao na usiwahudumie ili upeleke maendeleo Ruangwa ambako watu hawataki kufanya kazi bali wanacheza Bao mchana kutwa?
Huo ni upuuzi mkubwa!
Mungu akubariki, na akakupe ujasiri wa kuunena ukweli hata kama utakuwa pekee yako. Hakuna ulichoongeza wala kupunguza.

Ni mnafiki pekee au mwendawazimu, ambaye anaweza kusema hakuuna uovu wa uongozi wa marehemu Magufuli. Kwa kweli Taifa, chini ya Magufuli, liliingia katika laana kuu. Siwezi kufurahia kifo cja mtu yeyote maana siku moja kila mmoja wetu atakufa. Tunachotakiwa kumshukuru Mungu kwa uaminifu wake kwa wanaoonewa, ni kumwondoa Magufuli kwenye nafasi ya uongozi wa nchi ili wengi wapate kupona. Tungependa sana aondoke kwenye nafasi ya Urais halafu aendelee kuishi, lakini hatuna uwezo wa kuhoji hekima ya Mungu. Labda hakukuwa na uwezekano wa yeye kuondoka kwenye uongozi wa nchi bila ya kuleta maafa makubwa.

Tuendelee kumshukuru Mungu, kwa kuweza kulijalia tena mwanga Taifa letu baada ya kuwa kwenye kilindi cha giza nene.
 
Mjinga wewe
popoma mamako aliyesahau kutumia kondom likazaliwa jitu lenye kwashiakor kichwani km wewe. Hamtakaa kuongoza nchi yetu na njaa zenu zisizoisha. Mkiiba mnajisifu halafu kanisani na misikitini hamkosi viumbe gani nyie? Yule makengeza wenu anazidi kuwasha moto wa chuki, hawasaidii chocote zaidi ya kuwaangamiza.
 
Sabaya alikuwa na nguvu sana kuliko viongozi wakubwa wa kitaifa

Watanzania waliogopa kusema kifua kinauma. Kila aliyefariki alisingiziwa ''high blood pressure'' kwasababu Magufuli hataki kusika COVID.

Tukapata ugonjwa mpya unaoitwa changamoto ya kupumua! Tukaonekana vituko mbele ya uso wa dunia.

Magufuli akakataa chanjo kwa imani zake tu, akiwataka Watanzania mamilioni kuchemsha miti iliyoota kwenye kumbi za nyumba zao.

Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili ikajenga mtambo wa kufukiza mitishamba.

Wataalam wakatengeneza NIMR Cafe, Mawaziri wakifakamia maji ya michachi kule Antanarivo. Hayo yote yalifanywa na uongozi wa Magufuli na aliyasimamia

Waziri Mwigulu ni shahidi jinsi mabenki yalivyokuwa hoi!

JokaKuu
Umefanya vema sana kuwakumbusha wale wanaojifanya kusahau.

Wakati wa marehemu, ujinga, unafiki, uwongo, uharamia, ukatili, viligeuka kuwa ndiyo sifa zinazotakiwa na Taifa.
 
Nadhani kitu usichokijua usikimbilie kucomment au kushare.Ni vizuri kukaa kimya kwa sababu hujui na hakuna atakayekuita mjinga.

Aliyefanyiwa ndiye anayesema, wewe unasema hakufanyiwa.Na wapo wengi Arusha na Kilimanjaro walioteswa na kunyanganywa mali zao na kutendewa vitu vya ajabu na wengine walikufa kwa shinikizo la damu.Wewe unasema ukanda.Think twice na usituchefue.
Arusha ndiyo sehemu ambako kiliporwa pesa nyingi kwenye maduka ya kubadilisha fedha kiliko eneo lolote la Tanzania. Mpaka leo, haijulikani pesa ile aliipeleka wapi, kwa maana hakuna mahali popote, si benki kuu wala wizara ya fedha, ilikopelekwa.
 
Back
Top Bottom