Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Kuna wachaga wengi sana ni makada wa CCM na waliokuwa mashabiki wakubwa wa Magufuli. Wako hata waliofariki kwa kukanyagwa kanyagwa wakati wa kuaga mwili wake uwanjani DSM.Walitesa sana na kuonea makabila mengine maofisini kwa kupendeleana kwenye kila kitu kuanzia ajira,tenda nk
Mungu akamtumia Magufuli kujibu kilio cha wanyonge makabila mengine walioonewa nao
Viongozi wa serikali mkoa wa Kilimanjaro wote ni CCM. Waulizwe kuhusu huo ubaya wa kabila lao unaolalamikiwa sana tangu Magufuli akiwa hai hadi sasa kiasi cha kuona uhalali wa serikali kuwatendea vibaya watu wa mkoa huo ili “kuwanyoosha”.
Ieleweke CHADEMA si wawakilishi wa Wachaga au watu wote wa Kilimanjaro. Si sawa kuelekeza chuki kwa chama hicho kwa wachaga wote. Ironically ndio ubaguzi wenyewe mnaodai kuupiga vita.