Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Walitesa sana na kuonea makabila mengine maofisini kwa kupendeleana kwenye kila kitu kuanzia ajira,tenda nk

Mungu akamtumia Magufuli kujibu kilio cha wanyonge makabila mengine walioonewa nao
Kuna wachaga wengi sana ni makada wa CCM na waliokuwa mashabiki wakubwa wa Magufuli. Wako hata waliofariki kwa kukanyagwa kanyagwa wakati wa kuaga mwili wake uwanjani DSM.

Viongozi wa serikali mkoa wa Kilimanjaro wote ni CCM. Waulizwe kuhusu huo ubaya wa kabila lao unaolalamikiwa sana tangu Magufuli akiwa hai hadi sasa kiasi cha kuona uhalali wa serikali kuwatendea vibaya watu wa mkoa huo ili “kuwanyoosha”.

Ieleweke CHADEMA si wawakilishi wa Wachaga au watu wote wa Kilimanjaro. Si sawa kuelekeza chuki kwa chama hicho kwa wachaga wote. Ironically ndio ubaguzi wenyewe mnaodai kuupiga vita.
 
Mbowe anapoteza muda kuongelea issue zisizo na msingi kwasasa, ongelea katiba acha kupoteza muda mjomba.
 
Siyo Wachagga wote Ni CHADEMA. Ila CHADEMA wengi Ni Wachagga na ndio first class ndani ya chama.
 
Kama kiongozi mkubwa wa chama na unatarajia kugombea urais wa nchi hizi so kauli za kutamka..it means tukikuamini na kukupa nchi tusio wachaga na waarusha hatuna chetu...maana ni dhahiri kuwa utajali maslahi ya hao wachaga na waarusha Kwanza...PIGA X
 
Hata mbeya nako alikuwa na bifu nako kumbuka ile zomea zomea kipindi cha kampeni kwa jiwe kisasi ilikuwa lazima.
 
Hata mbeya nako alikuwa na bifu nako kumbuka ile zomea zomea kipindi cha kampeni kwa jiwe kisasi ilikuwa lazima.
Yaani watu wa mbeya na tarime huwa mnatamani kabisa kubadili hadi KABILA muwe wachagga Ni basi tu mmeshindwa🤣🤣

 
Kama kiongozi mkubwa wa chama na unatarajia kugombea urais wa nchi hizi so kauli za kutamka..it means tukikuamini na kukupa nchi tusio wachaga na waarusha hatuna chetu...maana ni dhahiri kuwa utajali maslahi ya hao wachaga na waarusha Kwanza...PIGA X
Unafiki bhana ila kwa jiwe uliona ni sahihi na mkampa jina la jembe,Mbowe anachosema kina funzo kwa wanasiasa waliopo na wajao aonewe halafu akae kimya?!
 
100% correct.

Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi mzuri. Asiyetaka kuelewa, aamue tu kutoelewa lakini ufafanuzi unatosheleza kwa mtu yeyote hata mwenye akili ndogo kuelewa.
 
Hitler aliishi nyakati ambazo hatukuwepo, lakini mpaka leo anajadiliwa.
 
Na ni upumbavu kuchukia mafanikio ya wenzako,wachaga mafanikio yao ni juhudi zao,kuna mtu mmoja alifurahi tunduma kujitenga na mbeya akidhani uchumi utayumba kimkoa,uswahili mbaya sana.
 
Mjinga wewe
 
Ujinga uliopitiliza, Hayupo, ukatili wake unakusumbuaje? Nenda kalipie Tozo, baada ya hapo kumbuka cement imepanda 25k toka 17k
Nyerere hasemwi? Mkapa hasemwi? Sokoine hasemwi?

Kinachokufa ni mwili, matendo yako huishi daima. Wala si ajabu, miaka hata 100 ijayo, Magufuli, kwa yale maovu aliyoyatenda, akaendelea kusemwa kuliko Rais mwingine yeyote. Hitler, nyakati zake, kulikuwepo viongozi mbalimbali Duniani, lakini kutokana na uovu wake, ndiye kiongozi pekee wa nyakati hizo anayenenwa na watu wengi kuliko mwingine yeyote.

Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Samia, watasahaulika, lakini siyo Magufuli. Ni kawaida mtu mwovu kusemwa na kukumbukwa na wengi kuliko mtu mwema.
 
Watu wa Kilimanjaro na Arusha , kabla ya Magufuli waliifanya hii nchi kama yao, hawakutegemea kama kuna Rais Mzalendo atakuja kuwanyoosha dhidi ya matendo yao ya kupendeleana + ubaguzi wa kikanda.
 
Miaka yote Arusha na Klm zimekuwa zikitoa wabunge wa CCM wa kutosha, huo ungome ulikuwa na wa mchongo katika harakati zao za kutaka kanda yao itoe Rais wakati huo akiwa edward Lowassa. Sema akili kubwa ikawadhibiti mapema.
 
Mungu akubariki, na akakupe ujasiri wa kuunena ukweli hata kama utakuwa pekee yako. Hakuna ulichoongeza wala kupunguza.

Ni mnafiki pekee au mwendawazimu, ambaye anaweza kusema hakuuna uovu wa uongozi wa marehemu Magufuli. Kwa kweli Taifa, chini ya Magufuli, liliingia katika laana kuu. Siwezi kufurahia kifo cja mtu yeyote maana siku moja kila mmoja wetu atakufa. Tunachotakiwa kumshukuru Mungu kwa uaminifu wake kwa wanaoonewa, ni kumwondoa Magufuli kwenye nafasi ya uongozi wa nchi ili wengi wapate kupona. Tungependa sana aondoke kwenye nafasi ya Urais halafu aendelee kuishi, lakini hatuna uwezo wa kuhoji hekima ya Mungu. Labda hakukuwa na uwezekano wa yeye kuondoka kwenye uongozi wa nchi bila ya kuleta maafa makubwa.

Tuendelee kumshukuru Mungu, kwa kuweza kulijalia tena mwanga Taifa letu baada ya kuwa kwenye kilindi cha giza nene.
 
Mjinga wewe
popoma mamako aliyesahau kutumia kondom likazaliwa jitu lenye kwashiakor kichwani km wewe. Hamtakaa kuongoza nchi yetu na njaa zenu zisizoisha. Mkiiba mnajisifu halafu kanisani na misikitini hamkosi viumbe gani nyie? Yule makengeza wenu anazidi kuwasha moto wa chuki, hawasaidii chocote zaidi ya kuwaangamiza.
 
Umefanya vema sana kuwakumbusha wale wanaojifanya kusahau.

Wakati wa marehemu, ujinga, unafiki, uwongo, uharamia, ukatili, viligeuka kuwa ndiyo sifa zinazotakiwa na Taifa.
 
Arusha ndiyo sehemu ambako kiliporwa pesa nyingi kwenye maduka ya kubadilisha fedha kiliko eneo lolote la Tanzania. Mpaka leo, haijulikani pesa ile aliipeleka wapi, kwa maana hakuna mahali popote, si benki kuu wala wizara ya fedha, ilikopelekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…