denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kwako sababu ni ipi?Hiyo sio sababu
Ndio sababu jana kwenye hotuba yake aliwauliza kama hamtaki kukiri makosa yenu mtayaacha vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwako sababu ni ipi?Hiyo sio sababu
Kwani chadema ipo kaskazini tu? Wewe inaonekana hujatembea Tanzania..nenda Mbeya uone. Nenda kanda ya ziwa uoneMasharti hayo kwamba lazima amtukane na kumponda Magu lkn swali ni kwamba after all said and done chadema na Wachaga watapata nini kutoka kwa hii Serikali ya Samia? Mnafikiri Samia atawakabidhi power ? Sana sana mnatumiwa kama kiatu ili utawala wake uende smooth msimsumbue baada ya hapo hatowajua na hakuna kitu mtamfanya, kiatu kinatumiwa kikichakaa kinatupwa hakuna anayejumbuka kwamba kilimsaidia asichomwe na jua au miba, na ndivyo chadema na Wachaga watakachofanyiwa kama kiatu …
Mbaguzi alikuwa Magufuli. Yeye ndiye atubu kwanzaHii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Ila kusema kweli naona kabisa huyu mzee anachuki sana japo anaongea kana kwamba ni mzalendo!
Magufuli alisaidia sana wachaga kutambua kuwa ukabila sio mzuri iwe maofisini, kwenye siasa nkArusha na Kilimanjaro kuwa ngome ya Chadema kuliwafanya wanyooshwe, yule jamaa alikuwa akipenda watu wanaomsujudia wakati wote na wale walioonesha upinzani kwake alikuwa tayari kuwanyoosha kwa njia yoyote.
Sabaya in particular na lile genge lake haramu, huyu aliachiwa uhuru wa kuwanyoosha wapinzani waliokuwa na misimamo, sidhani kama mikoa mingine nayo ilikuwa na "Sabaya" wao zaidi ya Kilimanjaro na Arusha.
Labda Mbeya huko sawa! Ila ajue kabisa akiendelea na maneno haya atajipotezea umaarufu!
Hata Dar aliteuliwa Suzan Lyimo!! Singida mchaga Jesca Kishoa mchaga list ndefu mnoYaani hawa
Huyu mzee inabidi awe na breki kwenye kivywa chale yeye mbona wabunge wa Viti maalum aliteua wote kutoka huko kwao hata kama wako mikoatofauti! Mfano Pendo kutoka geita na yule mtangazaji wa zamani wa ITV kutoka morogoro!
Aliyeziasisi ni jpm. Ungeanza kumchukia yeye kwanzaBinafsi nachukizwa sana na siasa zenye kupandikiza chuki
Magufuli aliwatesa sana sana watu wa kaskazini, huo ndio ukweli. Na MaCCM yalishanilia na kusema awanyooshe hawa.
Siyo Kilimanjaro na Arusha tu,uliza mkoa wa mbeya na walimzomea wakati wa kampeni,basi tu.Arusha na Kilimanjaro kuwa ngome ya Chadema kuliwafanya wanyooshwe, yule jamaa alikuwa akipenda watu wanaomsujudia wakati wote na wale walioonesha upinzani kwake alikuwa tayari kuwanyoosha kwa njia yoyote.
Sabaya in particular na lile genge lake haramu, huyu aliachiwa uhuru wa kuwanyoosha wapinzani waliokuwa na misimamo, sidhani kama mikoa mingine nayo ilikuwa na "Sabaya" wao zaidi ya Kilimanjaro na Arusha.
Kwanini unichagulie wa kumchukia..??Aliyeziasisi ni jpm. Ungeanza kumchukia yeye kwanza
Tupe mifano ya ukatili wake.Tuwe wakweli Magufuri alikuwa kiongozi katili kwanini tuogope kusema ukweli.
Nyie endeleeni kuishi kwenye kijiji kikubwa cha Mbeya ndo maana hata Samia haji huko tokea aingie madarakani! Mnajifanyaga wajuaji mbele giza!Siyo Kilimanjaro na Arusha tu,uliza mkoa wa mbeya na walimzomea wakati wa kampeni,basi tu.
Nimeona una masikio lakini husikii, una macho lakini huoni, una ngozi lakini huhisi,una pia lakini hunusi una mshedede lakini huutumii ipasavyoKwanini unichagulie wa kumchukia..??
Mbona mimi nimeandika very clear kwamba "ninachukizwa na siasa zenye kupandikiza chuki
Magufuli alimaliza hill Tatizo ndani ya muda mfupi walilolijenga Miaka mingi mnoYaaani hawa wanajionaga special!
anatetea ugaliHii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!