Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,144
Hata Bukoba walimzomea kwa sababu za kauli na michango ya janga la tetemeko lakini hatusikii Wanyakyusa na Wahaya wakilialia kama kaskazini. Inabidi waelewe kwamba nchi nzima ina watanzania bila kujali ukanda la sivyo Mbowe anaenda kupunguza wafuasi kwa kuendekeza U-kaskazini.Siyo Kilimanjaro na Arusha tu,uliza mkoa wa mbeya na walimzomea wakati wa kampeni,basi tu.