Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Kwani chadema ipo kaskazini tu? Wewe inaonekana hujatembea Tanzania..nenda Mbeya uone. Nenda kanda ya ziwa uone
 
Mbaguzi alikuwa Magufuli. Yeye ndiye atubu kwanza
 
Magufuli alisaidia sana wachaga kutambua kuwa ukabila sio mzuri iwe maofisini, kwenye siasa nk

Wamejifunza somo kipindi cha Magufuli wao ndio walikuwa vinara wa ukabila maofisini nk nenda hata taasisi walizoshika kama CRDB kichaga ni kama ndio Lugha ya taifa ndani ya benki wamejaa kila kona
Mitenda wakawa wanapeana wenyewe

Walijisahau walivyoona biashara wameshika ,wameshika vyeo vya juu serikalini sehemu nyeti na kuajiliana kiupendeleo wakajiona sasa muda umefika wakamate nchi kabisa ndio wakaanzisha chama cha siasa cha Chadema ili wakamate dola kabisa

Magufuli alibomoa ndoto zote ndio wakaanza vita ohh Magufuli anajenga dola ya wasukuma au sukuma gang!!! Wakasahau kuwa na wao walikuwa wanajenga dola ya kichaga yaani mchaga gang!! Magufuli kaja kupiga bulldozer kuwa kama nyie wachaga mnajua kuendekeza ukabila makabila mengine pia yaweza mtakoma
Wachaga sasa soko limewaingia sasa hivi wameelewa ukabila mbaya wakati walikuwa nakuona mzuri walipokuwa waki practice wao
At least sasa twaweza kukaa vizuri bila kabila moja kuendekeza ukabila.Asante marehemu Magufuli kuwaelewesha wachaga kuwa ukabila haulipi in the long run time.In short term waweza kuonekana walipa lakini mbeleni giza.
 
Hata wasukuma ndugu zake na marehmlemu wanakiri hili la ndugu yao kuwa mbaguzi wa baadhi ya maeneo. Pale Chato alikata watu masikio kisa walikuwa chama tofauti. Huu ubaguzi ni hatari sana.
Labda Mbeya huko sawa! Ila ajue kabisa akiendelea na maneno haya atajipotezea umaarufu!
 
Yaani hawa

Huyu mzee inabidi awe na breki kwenye kivywa chale yeye mbona wabunge wa Viti maalum aliteua wote kutoka huko kwao hata kama wako mikoatofauti! Mfano Pendo kutoka geita na yule mtangazaji wa zamani wa ITV kutoka morogoro!
Hata Dar aliteuliwa Suzan Lyimo!! Singida mchaga Jesca Kishoa mchaga list ndefu mno

Ukienda wafanyakazi walioajiriwa Chadema kuanzia madereva huko ni balaa wenyewe watupu
 
Siyo Kilimanjaro na Arusha tu,uliza mkoa wa mbeya na walimzomea wakati wa kampeni,basi tu.
 
anatetea ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…