Hata we mmatumbi tunakupenda tatizo hujiamini.Yaani watu wa mbeya na tarime huwa mnatamani kabisa kubadili hadi KABILA muwe wachagga Ni basi tu mmeshindwa[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2157609
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata we mmatumbi tunakupenda tatizo hujiamini.Yaani watu wa mbeya na tarime huwa mnatamani kabisa kubadili hadi KABILA muwe wachagga Ni basi tu mmeshindwa[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2157609
Binafsi nakuunga mkono ila Mbowe asihubiri ukabila kwa wengine ilihali na yeye ana element hizoTuwe wakweli Magufuri alikuwa kiongozi katili kwanini tuogope kusema ukweli.
Acha chuki za kihuni weww, wakati babu wa babu yako akiwa analiwa na funza kule porin kijijin kwenu mchaga alikuwa katikati ya jiji la london akisaka pesa. Hakuna mchaga anayetafutaga upendeleo wa kifala, wale ni natural born fighters. Ni sekta ipi utawakosa hawa waisrael? Wachaga waliojiajiri hasa kwenye biashara za kati na za chini ndo wana mafanikio makubwa kuliko walio katika ajira. Mwisho utajasema hata wale mangi wanaolichemsha soko la vitunguu na nyanya pale kariakoo wamependelewa!!!! Mchaga ameanza kustaaribika kabla babu wa babu wa babu yako hajazaliwa. Sasa leo huyo msukuma wenu maguful anakuja kuleta chuki atawaeza wap?!!! Atakufa kwa kihoro chake huyo.Magufuli alisaidia sana wachaga kutambua kuwa ukabila sio mzuri iwe maofisini, kwenye siasa nk
Wamejifunza somo kipindi cha Magufuli wao ndio walikuwa vinara wa ukabila maofisini nk nenda hata taasisi walizoshika kama CRDB kichaga ni kama ndio Lugha ya taifa ndani ya benki wamejaa kila kona
Mitenda wakawa wanapeana wenyewe
Walijisahau walivyoona biashara wameshika ,wameshika vyeo vya juu serikalini sehemu nyeti na kuajiliana kiupendeleo wakajiona sasa muda umefika wakamate nchi kabisa ndio wakaanzisha chama cha siasa cha Chadema ili wakamate dola kabisa
Magufuli alibomoa ndoto zote ndio wakaanza vita ohh Magufuli anajenga dola ya wasukuma au sukuma gang!!! Wakasahau kuwa na wao walikuwa wanajenga dola ya kichaga yaani mchaga gang!! Magufuli kaja kupiga bulldozer kuwa kama nyie wachaga mnajua kuendekeza ukabila makabila mengine pia yaweza mtakoma
Wachaga sasa soko limewaingia sasa hivi wameelewa ukabila mbaya wakati walikuwa nakuona mzuri walipokuwa waki practice wao
At least sasa twaweza kukaa vizuri bila kabila moja kuendekeza ukabila.Asante marehemu Magufuli kuwaelewesha wachaga kuwa ukabila haulipi in the long run time.In short term waweza kuonekana walipa lakini mbeleni giza.
Acha chuki za kihuni weww, wakati babu wa babu yako akiwa analiwa na funza kule porin kijijin kwenu mchaga alikuwa katikati ya jiji la london akisaka pesa. Hakuna mchaga anayetafutaga upendeleo wa kifala, wale ni natural born fighters. Ni sekta ipi utawakosa hawa waisrael? Wachaga waliojiajiri hasa kwenye biashara za kati na za chini ndo wana mafanikio makubwa kuliko walio katika ajira. Mwisho utajasema hata wale mangi wanaolichesha soko la vitunguu na nyanya pale kariakoo wamependelewa!!!! Mchaga ameanza kustaaribija kabla babu wa babu wa babu yako hajazaliwa. Sasa leo huyo msukuma wenu maguful anakuja kuleta chuki atawaeza wap?!!! Atakufa kwa kihoro chake huyo.
Sasa kama mnayo maendeleo chuki za nini?Kwa hiyo ndo akili zako hizi? Kweli weweni kiazi hayo mafanikio unayoyataja akina nani hawana hata hao wasukuma wanayo sana tu ila hawana kelele kama nyinyi!
Mnaukabila sana sema mwisho wenu umefika.Sasa kama mnayo maendeleo chuki za nini?
Kwa hiyo na ninyi mliyapata hayo maendeleo kwa upendeleo au ndo kuharisha aharishe bata?!! Shule yenyewe mmeanza kwenda majuz tu hapa halafu mnaleta chuki za kitaaira. Sasa mnaleta chuki za kijinga na mtu aliyeijua shule tangu zama za kati za mawe?!!! Achen hizo bana. Tufanye kaz tujenge nchi, hakuna mchaga anapendelewaga popote.
Sasa kama mnayo maendeleo chuki za nini?

Labda mliibiwa huko kilimanjaro na arusha lakini kwa kanda ya ziwa mikoa ya kati na pwani hamna chenu mkajipang.
Sasa kama mnayo maendeleo chuki za nini?
Kwa hiyo na ninyi mliyapata hayo maendeleo kwa upendeleo au ndo kuharisha aharishe bata?!! Shule yenyewe mmeanza kwenda majuz tu hapa halafu mnaleta chuki za kitaaira. Sasa mnaleta chuki za kijinga na mtu aliyeijua shule tangu zama za kati za mawe?!!! Achen hizo bana. Tufanye kaz tujenge nchi, hakuna mchaga anapendelewaga popote.
Unajua! Wao wanajua hela wanayo wao tu! Wakikutana migombani na IST zao wanajua hakuna mwingine kwenye hela tofauti na wao!Nyie si mnanguvu mtu mmoja tu Magufuli mchunga ng'ombe kwa miaka mitano aliwanyima usingizi na usmart wenu,
Je wasukuma wote wakiwa wabaguzi kama ninyi si mtakufa kabsa..
Zama zenu zimekwisha.
Wewe mjinga mkubwa yaani Lisu alishinda kanda ya ziwa? Hivi vichwa vyenu vimejaa ugoro?
wakati mwingine ni kuwapuuza tu waburudishe nafsi zao.Wewe mjinga mkubwa yaani Lisu alishinda kanda ya ziwa? Hivi vichwa vyenu vimejaa ugoro?
Threat ya huo ukatili na ubaguzi au?! Kama alikuwa threat Mbona funza wanamla sasa?!! Si angedumu milele!!Unauhakika shule tumeeanza kwenda juzi? Sasa hofu ya nini kwenu kama wasukuma mnawaona threat kwenu!
Nyie si mnanguvu mtu mmoja tu Magufuli mchunga ng'ombe kwa miaka mitano aliwanyima usingizi na usmart wenu,
Je wasukuma wote wakiwa wabaguzi kama ninyi si mtakufa kabsa..
Zama zenu zimekwisha.
Anachezea kichapo cha funza sasa hivNyie si mnanguvu mtu mmoja tu Magufuli mchunga ng'ombe kwa miaka mitano aliwanyima usingizi na usmart wenu,
Je wasukuma wote wakiwa wabaguzi kama ninyi si mtakufa kabsa..
Zama zenu zimekwisha.
Hahaha!!! wanajisifia kwa kuiba..Unajua! Wao wanajua hela wanayo wao tu! Wakikutana migombani na IST zao wanajua hakuna mwingine kwenye hela tofauti na wao!
Mengi anachezea nini?Anachezea kichapo cha funza sasa hiv
Katili mbaguzi Anachezea kichapo cha funza sasa hivNyie si mnanguvu mtu mmoja tu Magufuli mchunga ng'ombe kwa miaka mitano aliwanyima usingizi na usmart wenu,
Je wasukuma wote wakiwa wabaguzi kama ninyi si mtakufa kabsa..
Zama zenu zimekwisha.
Magufuli aliwanyima wachaga usingizi kwa usukuma wake au kwa kiburi cha madaraka? Kwanza isitoshe Magufuli hakuwa msukuma bali alijificha kwenye usukuma.