Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

Mbona Ndugai hasamehi?
Ndugai na yule jamaa yake hawana hofu ya Muumba, wana roho ngumu zilizojaa Jeuri na Majivuno - Mwenye hofu ya Mungu ni lazima ateleleze ibada ya kwanza kabisa kila siku ambayo ni KUSAMEHE..

Bila KUSAMEHE huna nafasi yeyote katika ufalme wa mbinguni & uzima wa milele.
 
Unasamehe bila kuombwa msamaha?
 
Kuna tofauti kati ya kusamehe na kuachilia!
 
Na zito na slaa nao watarudi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unasamehe bila kuombwa msamaha?
Kusamehe ni tendo ndani ya nafsi yako - si lazima utoe kusamehe hadi aliyekukosea aje kukupigia magoti, afu ukimtangaza kwamba mmeona kaja...kaja analia.. (kama walivyomfanya Nape na wenzie) ni dhambi tu kumdhalilisha mtu hivyo!!

Msamaha ni topic ndefu kiroho.
 
Sisi tuendelee kutukanana na kutoana AKILI [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mbona Mungu hasamehei bila kuombwa msamaha?
 
Khaaaa 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…