Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

Yaani niue mtoto wako alafu unisamehe bila kukuomba msamaha? utakuwa mzima kweli kichwani au rushwa itakuwa imetembea?
Mkuu, Ndiyo maana ni kazi ngumu mno kwa mwanadamu kuingia ufalme wa Mbinguni....

Soma Mathayo 5:38-48
Soma pia Mt 18:22

Maandiko haya yatakusaidia sana na nafikiri ndiyo yaliyomfanya Mwenyekiti wa CDM kutamka neno KUSAMEHE.
 
mi najua mchezo wote Mbowe unajua sema basi tu sisi tulioko nje tunahadaiwa tu...
 
Hii ndio point ya msingi
Sawa warudi ni haki yao kikatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kugombea nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
 
Wewe uliikuta Chadema mimi na Freeman tuliiasisi tukiwa vijana.

Wewe na Tundu Lisu mko Chadema kimaslahi zaidi lakini mimi na Freeman hiki ni chama " chetu" hata kama leo tuko CCM!
Hicho ndio kisingizio chako always... Kama uliharibu ukapigwa chini kuwa mpole Jo.. Naona hili jambo linakutesa mpaka kesho Jo...ndio maana 24/7 ni wewe na CHADEMA tu.. Lakini ya Mungu si ya mwanadamu Ishallah CHADEMA inasonga wewe unaendelea kubaki na maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutarudi kuichukua Chadema yetu kwa wakati muafaka.

Usione vyaelea mshana jr ujue vimeundwa.

Chama kisicho na mwenyewe ni Nccr mageuzi!
 
Namjadili kwa kumjenga siyo kumbomoa.

Tatizo la Ufipa mnapenda kusifiana tu na siyo kukosoana!
Basi akili yako ina hitilafu kubwa Jo..kama mijadala yako dhidi ya CHADEMA na mwenyekiti wake nia yake ni kujenga basi kuna shida kubwa sana mahali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. Kama ile ya spika tuu
 
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.

Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."

Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.

Maneno ya hekima kabisa kutoka kwa Bw. Aikaeli Mbowe.

Vita ni strategy ndiyo maana hata Mandela alimu accommodate Mangosutu Buthelezi vilivyo, pamoja na mapungufu yake mengi na hata yaliyopelekea weusi kuuwawa.

Long live Mh. Mbowe, uongozi si visasi.

Cc: Malaika kiongozi.
 
Tutarudi kuichukua Chadema yetu kwa wakati muafaka.

Usione vyaelea mshana jr ujue vimeundwa.

Chama kisicho na mwenyewe ni Nccr mageuzi!
CHADEMA is there to stay Jo.. Jiwe kataka kuiua kafa yeye... Na wewe utakufa ukiiacha CHADEMA ikishamiri
 
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.

Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."

Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.
1622101194301.png
 
Mbowe si mtu ya kawaida inajua kucheza na akili ya CHADEMA, CCM, na serikali kwa ujumla wake. Tazama isema Lowasa ni fisadi na jinsi ilivyomkaribisha kuwa mgombea wa UKAWA ndio tunapata kuelewa Mbowe anacholeka hasa ni nini
1622101270249.png
 
Back
Top Bottom