Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

Forgiving does not mean compromising!!! Hata ukitenda dhambi you will be forgiven if you ask forgiveness but the consequences of sin are still there. For example ukiiba ukakamatwa utaenda jela hata ukimwomba Mungu msamaha. Atakusamehe lakini jela utaenda tu.
Forgiveness does not preclude penalty/retribution. Hata vitabu vitakatifu are very clear on this.
And David said unto Nathan : I have sinned against the Lord.
And Nathan said unto David: the Lord has put away thy sin and because of thy deed ,the child that is born on thee shall surely die.
 
Sasa kwa nini msibubaliane na kina mdee ili mchukue hizo ruzuku?
Mbowe analeta njaa kama Zitto
Utaratibu ndio kitu muhimu. Kukubaliana nao ni kwanza warudi kundini halafu utaratibu wa kuwarudisha bungeni kwa mujibu wa taratibu za chama ufanyike. Riziki si hoja sana kwasababu hata bila hao CHADEMA ikipeleka watu wengi Riziki itatoka tu!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.

Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."

Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.
Uko sahihi, msamaha ni tiba ya kila kitu na chanzo cha Amani
 
Mkuu, Ndiyo maana ni kazi ngumu mno kwa mwanadamu kuingia ufalme wa Mbinguni....

Soma Mathayo 5:38-48
Soma pia Mt 18:22

Maandiko haya yatakusaidia sana na nafikiri ndiyo yaliyomfanya Mwenyekiti wa CDM kutamka neno KUSAMEHE.
Haya
 
Hatimae ufipa kuna miunguwatu wanasamehe dhambi
 
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi
1622102150889.png
 
CHADEMA INAKWENDA KUPASUKA VIBAYA SANA,KWA UJINGA WA VIONGOZI WAKE,KWA KUWAKUMBATIA WAASI WALIOPO BUNGENI,AKIMA MAMA WA MBEYA,MWANZA NA KWINGINEKO WANACHADEMA KINDAKI NDAKI HAWATAPENDEZEWA NA HILI KAMWE.
*TIMES SHALL TELL.
 
Mbowe ni CCM!
Sasa vipi Sabaya alipelekwa Hai kuhakikisha Mbowe anafeli kila kitu na kunyang’anywa ubunge. Halafu yule lofa mwingine akapewa uRC baada ya kuharibu greenhouse ya Mbowe?

Tuseme CCM hamuwajui makada wenu? Au mwendazake ndiye aliyekuwa allergic na Mbowe?
 
Mama D,
Mmemezeshwa hizo propaganda! Wewe na wafiwa wenzako ni wafuasi wa fikra bandia, Mbowe hafuati pesa kwenye siasa, bali anawekakezaga pesa zake kwenye siasa!

Umeelewa nilichoandika lakini?

Au wewe unapinga ukweli kwamba mbowe si mjasiriamali!?
 
Umeelewa nilichoandika lakini?

Au wewe unapinga ukweli kwamba mbowe si mjasiriamali!?
Kwanini huo unaouita ‘ujasiriaMALI’ unaouzungumzia uwe kwenye muktadha huu? Unataka uelewekeje nini zaidi ya ‘ujuha-likali’ ambao umetamalaki akili zako?!
 
Mbowe umewatega vizuri sana hawa wasaliti, kwa maana wakiondoka huwa wanakutukana kila aina ya matusi, Mbowe hivi CHADEMA vile..

Nimekuelewa sana Mwenyekiti wangu Mbowe, akili kubwa sana Mbowe✌🏽
 
Chadema kiwe chama kiongozi?

Hakika kuongiza Ufipa ni kazi rahisi sana.
Usijidanganye. Hadi sasa CHADEMA ndicho chama cha siasa kinachodumu na KUONGOZA KWA NGUVU YA HOJA nchini. Hata kivuli chake tu kinatikisa watawala pamoja na vyombo vya dola kuwa na ajenda kubwa ya kuikandamiza CHADEMA.
Jiulize: mwendazake muda mrefu kateseka kuiangamiza na “kuibishia” CHADEMA hadi ubishi huo ukamtanguliza yeye na kuiacha CHADEMA ikiendelea kutesa na mbunge mmoja aliyewapa wasiyemhitaji.
Halafu angalia jinsi serikali inavyohaha kuwachukua na kuwapa nyadhfa watu kibao “walioundwa” na CHADEMA pamoja na kuwang’ang’ania Covid-19 bungeni kinyume cha Katiba.
Pamoja na CHADEMA kufutika bungeni, wabunge wanafuatilia mitandao kujibu hoja za CHADEMA Bungeni! Na makada kibao wako JF kuanzisha na kujibu mada za chama “kilichokufa”!
 
Sawa warudi ni haki yao kikatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kugombea nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
Kwani katiba ya Chama inasemaje? Usikute inatambua Wanachama wote wana haki sawa
 
Usijidanganye. Hadi sasa CHADEMA ndicho chama cha siasa kinachodumu na KUONGOZA KWA NGUVU YA HOJA nchini. Hata kivuli chake tu kinatikisa watawala pamoja na vyombo vya dola kuwa na ajenda kubwa ya kuikandamiza CHADEMA.
Jiulize: mwendazake muda mrefu kateseka kuiangamiza na “kuibishia” CHADEMA hadi ubishi huo ukamtanguliza yeye na kuiacha CHADEMA ikiendelea kutesa na mbunge mmoja aliyewapa wasiyemhitaji.
Halafu angalia jinsi serikali inavyohaha kuwachukua na kuwapa nyadhfa watu kibao “walioundwa” na CHADEMA pamoja na kuwang’ang’ania Covid-19 bungeni kinyume cha Katiba.
Pamoja na CHADEMA kufutika bungeni, wabunge wanafuatilia mitandao kujibu hoja za CHADEMA Bungeni! Na makada kibao wako JF kuanzisha na kujibu mada za chama “kilichokufa”!
Maneno yako yamempa ‘huyo mlevi’ wa umataga, sababu za Kwanini CHADEMA ni chama kiongozi! CHADEMA inaongoza nchi indirect, hata sasa!
 
Back
Top Bottom