Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
Hainihusu ndio maana sina shombo mdundo kama weweKwani wewe inakuhusu nini?
Hainihusu ndio maana sina shombo mdundo kama weweKwani wewe inakuhusu nini?
Hapa mbona unapalatia?Hainihusu ndio maana sina shombo mdundo kama wewe
Kama unamaanisha nakupalatia wewe uko sawa maana kuna kitu nakitaka toka kwakoHapa mbona unapalatia?
Toa kauli kuhusu wabunge 19. Acha mizunguko kama barabara ya kitongaMwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."
Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.
Mtapelekwa hivyo hivyo kwa sababu mna vichwa vya dagaa!
"Tutawasanehe Dhambi zao"Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."
Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.
Tutarudi kuichukua Chadema yetu kwa wakati muafaka.
Usione vyaelea mshana jr ujue vimeundwa.
Chama kisicho na mwenyewe ni Nccr mageuzi!
Kwanini huo unaouita ‘ujasiriaMALI’ unaouzungumzia uwe kwenye muktadha huu? Unataka uelewekeje nini zaidi ya ‘ujuha-likali’ ambao umetamalaki akili zako?!
Kweli kabisa!Sawa warudi ni haki yao kikatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kuongoza nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
A political party is an organization that have members who ought to have similar ideas and may promote specific ideological or policy goals.Kisheria huruhusiwi kumkataa yeyote atayetaka kujiunga na chama chochote akitakacho, mkikosea kwenye hilo chama kinaweza kufutiwa usajili.
pardon, remission, indulgence.Forgiving does not mean compromising!!! Hata ukitenda dhambi you will be forgiven if you ask forgiveness but the consequences of sin are still there. For example ukiiba ukakamatwa utaenda jela hata ukimwomba Mungu msamaha. Atakusamehe lakini jela utaenda tu.
Na waasisi wenzangu.Wewe na nani? Kuichukua toka kwa nani?
Kabisa mkuu.Forgiveness does not preclude penalty/retribution. Hata vitabu vitakatifu are very clear on this.
And David said unto Nathan : I have sinned against the Lord.
And Nathan said unto David: the Lord has put away thy sin and because of thy deed ,the child that is born on thee shall surely die.
Weka video ili ithibitike kama ni kweli.Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."
Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."[emoji736][emoji736][emoji817]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni nani wa kumpinga mwenyekiti wa milele?Mbowe akumbuke kuwa kuna watu wapo kaburini na wengine ni vilema kutokana na madhila yaliyosababishwa na hao wasaliti/covid hivyo mbowe hapaswi kuchezea makalio ya wanachama