simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Forgiveness does not preclude penalty/retribution. Hata vitabu vitakatifu are very clear on this.Forgiving does not mean compromising!!! Hata ukitenda dhambi you will be forgiven if you ask forgiveness but the consequences of sin are still there. For example ukiiba ukakamatwa utaenda jela hata ukimwomba Mungu msamaha. Atakusamehe lakini jela utaenda tu.
Utaratibu ndio kitu muhimu. Kukubaliana nao ni kwanza warudi kundini halafu utaratibu wa kuwarudisha bungeni kwa mujibu wa taratibu za chama ufanyike. Riziki si hoja sana kwasababu hata bila hao CHADEMA ikipeleka watu wengi Riziki itatoka tu!Sasa kwa nini msibubaliane na kina mdee ili mchukue hizo ruzuku?
Mbowe analeta njaa kama Zitto
Uko sahihi, msamaha ni tiba ya kila kitu na chanzo cha AmaniMwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."
Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.
HayaMkuu, Ndiyo maana ni kazi ngumu mno kwa mwanadamu kuingia ufalme wa Mbinguni....
Soma Mathayo 5:38-48
Soma pia Mt 18:22
Maandiko haya yatakusaidia sana na nafikiri ndiyo yaliyomfanya Mwenyekiti wa CDM kutamka neno KUSAMEHE.
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi
Matured enough,so do you?Sometime mbowe huwa simuelewagi ni mpinzani wa aina Gani?
Mama D,Mbowe ni mjasiriaMALI
Sasa vipi Sabaya alipelekwa Hai kuhakikisha Mbowe anafeli kila kitu na kunyang’anywa ubunge. Halafu yule lofa mwingine akapewa uRC baada ya kuharibu greenhouse ya Mbowe?Mbowe ni CCM!
Mama D,
Mmemezeshwa hizo propaganda! Wewe na wafiwa wenzako ni wafuasi wa fikra bandia, Mbowe hafuati pesa kwenye siasa, bali anawekakezaga pesa zake kwenye siasa!
Kwanini huo unaouita ‘ujasiriaMALI’ unaouzungumzia uwe kwenye muktadha huu? Unataka uelewekeje nini zaidi ya ‘ujuha-likali’ ambao umetamalaki akili zako?!Umeelewa nilichoandika lakini?
Au wewe unapinga ukweli kwamba mbowe si mjasiriamali!?
Anaenda au rudi-Mbowe anajijua mwenyewe tu keshampoteza mbeligiji mweusi na Mnyika hapo huku wanachama tunapiga makofi tu.
KWELI KABISAMbowe si mtu ya kawaida inajua kucheza na akili ya CHADEMA, CCM, na serikali kwa ujumla wake. Tazama isema Lowasa ni fisadi na jinsi ilivyomkaribisha kuwa mgombea wa UKAWA ndio tunapata kuelewa Mbowe anacholeka hasa ni nini
Usijidanganye. Hadi sasa CHADEMA ndicho chama cha siasa kinachodumu na KUONGOZA KWA NGUVU YA HOJA nchini. Hata kivuli chake tu kinatikisa watawala pamoja na vyombo vya dola kuwa na ajenda kubwa ya kuikandamiza CHADEMA.Chadema kiwe chama kiongozi?
Hakika kuongiza Ufipa ni kazi rahisi sana.
Kwani katiba ya Chama inasemaje? Usikute inatambua Wanachama wote wana haki sawaSawa warudi ni haki yao kikatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kugombea nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
Maneno yako yamempa ‘huyo mlevi’ wa umataga, sababu za Kwanini CHADEMA ni chama kiongozi! CHADEMA inaongoza nchi indirect, hata sasa!Usijidanganye. Hadi sasa CHADEMA ndicho chama cha siasa kinachodumu na KUONGOZA KWA NGUVU YA HOJA nchini. Hata kivuli chake tu kinatikisa watawala pamoja na vyombo vya dola kuwa na ajenda kubwa ya kuikandamiza CHADEMA.
Jiulize: mwendazake muda mrefu kateseka kuiangamiza na “kuibishia” CHADEMA hadi ubishi huo ukamtanguliza yeye na kuiacha CHADEMA ikiendelea kutesa na mbunge mmoja aliyewapa wasiyemhitaji.
Halafu angalia jinsi serikali inavyohaha kuwachukua na kuwapa nyadhfa watu kibao “walioundwa” na CHADEMA pamoja na kuwang’ang’ania Covid-19 bungeni kinyume cha Katiba.
Pamoja na CHADEMA kufutika bungeni, wabunge wanafuatilia mitandao kujibu hoja za CHADEMA Bungeni! Na makada kibao wako JF kuanzisha na kujibu mada za chama “kilichokufa”!
🤣anajijua mwenyewe tu keshampoteza mbeligiji mweusi na Mnyika hapo huku wanachama tunapiga makofi tu