Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!

Mbowe bhn!! Siasa ni kazi kama kazi zingine ndio maana wanalipana mishahara ;mbona wakipata ufadhili wa fedha na ruzuku hawawaiti watanzania wanagawana peke Yao?? Tusilazimishane kufanya kazi ya hatari wakati nyinyi watoto wenu mmewapeleka ulaya!
 
Nimesikia mwananchi mmoja akimjibu Mbowe hivi:-

"Hangaikeni nyie coz ndio mnaolamba nao asali pamoja sisi msoto unatutisha"

Nimecheka Sana KWA uchungu!
 
Ukitegemea mabadiliko ya haraka ya siasa kutoka kwa wa Tanzania hapo utakua umebugi, Mbowe alifungwa miezi 9 jela ila watanzania waliendelea na maisha yao ya kawaida bila hata mgomo wa aina yoyote, kwahiyo watanzania wamesha mfanya akate tamaa kabisa hawezi kuwapigania tena. Na umri wake umeenda, kubali au kataa mbowe kabla ya kuenda Jela sio yule Mbowe wa baada ya Jela kajifunza mengi sana amekua na mtazamo mpya.
Yaani mwenyekiti wetu kapoa sana,sijui walikuwa wanamfanya nini?
 
Hapana inabidi tujaribu namna nyingine kama itakuwa hivi hivi basi tutakubaliana kwamba kweli This is Africa !!

Hahaha yes ni Africa brother, that's why tunaumwa malaria na kipindupindu kila siku
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe

Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema

Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa Walalamikaji wa kudumu, amesisitiza Mbowe katika mkutano wa hadhara Temeke
Wanasema wananchi wanataka katiba mpya halafu tena wanawaita waoga na wavivu?
 
Kumbe. Huoni hata umeme unakatika na hawana uwezo wa kushinikiza upatikane wakati wanalipia hiyo huduma, na ndio unaoendesha shughuli zao?
Kuhusu umeme ni kweli tunasikia wakizungumzia hiyo kero lakini kwenye kuhitaji katiba mpya.
 
Sijaelewa tafsiri ya uoga ni ipi. Tutofautishe uoga na ukorofi, sasa ikiwa wananchi hawana imani na wanasiasa ni vipi unaweza kuwashawishi waingie barabarani.
Na hakuna aliyejitahidi kuwashawishi wananchi waingie barabarani.
 
Ndugu zangu watanzania,

Baada ya matarajio ya Chadema kuwa tofauti na kupokelewa tofauti na watanzania na kupuuzwa na watanzania katika harakati zao kutokana na kukosa hoja na Sera za kuwashawishi na kugusa maisha Yao wameanza kuwatupia watanzania lugha za udhalilishaji kwa kusema watanzania Ni waoga na wavivu.

Chadema wameanza mikutano Yao kwa porojo pasipo Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa maisha ya watanzania na kufikiri kuwa ndio Mahitaji ya watanzania na kupelekea kukosa uungwaji mkono, kutokana na kukuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani.

Shida ya watanzania siyo katiba mpya na Wala ukija vijijini kwetu huku Hakuna anayelia Wala kuwa na mahitaji ya katiba na Wala hawana habari na katiba na Wala haiwagusi katika suala la mbolea ,Bei za mazao yao Wala Elimu au Afya au Miundombinu au ajira kwa vijana vitu ambavyo Rais Samia amevigusa na kuvipatia majibu yaliyoleta Tabasamu mioyoni mwao na kuinua matumaini kwao.

Jiulize wewe unayesoma hapa kuwa Ni lini mama yako au Bibi yako kule kijijini alikuomba umtumie katiba? Lini alikuomba umtumie na kumsaidia kuipata rasimu ya warioba?

Hayo siyo Mahitaji ya watanzania ndugu zangu,Mahitaji ya watanzania Ni Yale ayafanyayo Rais Samia na serikali yake Kama vile kuwapatia watanzania maji Safi na salama,Elimu bure na Bora,ajira na mikopo ya Elimu ya juu kwa vijana,mbolea za Ruzuku,huduma Bora za Afya,uwepo wa madawa mahospitalini,vitendea kazi na wataalamu wa Afya,mazingira mazuri ya biashara,maslahi Bora na mazingira mazuri kwa watumishi wa umma,kutendeka kwa haki kwa kila mwenye kuhitaji haki,Usawa katika utolewaji wa huduma na mgao wa keki ya Taifa.

Sasa baada ya kuwa Rais Samia amekata kiu ya watanzania kwa kuwapatia wanachohitaji na kupata uungwaji mkono iliyopelekea watanzania kuwatupilia mbali wapinzani, imepelekea chadema wachanganyikiwe na kuanza kuwatukana watanzania bila sababu za msingi,Nasema na bado maana Moto wa mama Samia utachoma kila kichaka na kuteketeza vyama vyote vya kibabaishaji vilivyokuwa Kama miradi ya watu kujipatia Ruzuku,vinakwenda kusambaratika muda siyo mrefu.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Kwa hiyo huoni mantiki ya kuwa na katiba mpya kwa sababu umeweka namba ili upate uteuzi?
 
Wewe kama hujui kwamba watanzania wako tayari kwa mageuzi ya siasa wambie CCM waweke uchanguzi huru na tume huru hata 20% CCM haipati. Wa Tanzania walisha choka sema tu hawana maalifa na mbinu ya kuwatoa hapo walipo.
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe

Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema

Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa Walalamikaji wa kudumu, amesisitiza Mbowe katika mkutano wa hadhara Temeke
Waambie hao viongozi walete familia zao kwanza zishirikiane na wananchi kabla ya kuanza Mambo mengine
 
Back
Top Bottom