Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Mbowe anatumikia maslahi ya nani ?!!!

DP WORLD walipata CHANGAMOTO ya uwekezaji hapo Msumbiji....kwa hoja hizihizi za akina Mbowe.....hebu unganisha "dots" utambue kuwa Mbowe ni dalali.....

Je dalali wa mashirika gani ya nchi zipi ?!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tena dalali wa viwanja kule mpigi magohe. Hafai kusikilizwa hata kidogo.
 
[emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Katiba ya nchi inaelezea haya mambo ya kuuza nchi....

Hebu tuwekeeni vifungu vya sheria ndani ya katiba vya "surrendering sovereignty".......[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe huna , hujawahi na wala hautakuja kuwa na uwezo wa kupambana na Chadema , waulize waliokutuma
 
Tena dalali wa viwanja kule mpigi magohe. Hafai kusikilizwa hata kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Failure wa "form 6" kaanza udalali siku nyingi sana....

Kwa miaka ile ya watoto kutoka familia bora....nchi ikiwa haina wasomi....mtu "serious" alikuwa anafeli vipi ?!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbowe ni "failure" wa mengi....

Dalali huyoooo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naomba mumeo kama kauelewa anieleweshe na mimi
Acha umalaya mkuu....

Umalaya huo.....

Unataka uparamie waume za watu ?!!!

Mmezoea umalaya na ndio maana mnapenda siasa za matukio....wenzetu wajenge nyie mtumie tu....

Mume wangu ameambiwa kuwa wewe ni mwanamke Malaya wa kimboka...matundu wazi....

Wewe kweli "falure" Kama Mbowe....[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vijana wawili makini wa kupush agenda kama hizi ili na wao waingizwe kweny payroll, wanaomba connection tafadhali!!
 
Basi kaa utulie dada angu, haya maswala ya kiume huyawezi
 
Wewe huna , hujawahi na wala hautakuja kuwa na uwezo wa kupambana na Chadema , waulize waliokutuma
Uwezo ni nao...

Uwezo huo wa kupambana na "vilaza" ninao....

Hebu nipinge kwa swali hili...

Niwekee kipengele cha katiba kinachoelezea/kupinga "surrender of our sovereignty".....

Kiweke hapa....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe huna , hujawahi na wala hautakuja kuwa na uwezo wa kupambana na Chadema , waulize waliokutuma
Ninyi mna nini ninyi....

SCUM tupu pale UFIPA....

Afisa uhusiano wenu na mwandishi wa habari wenu wa zamani B.M aliwaumbua vizuri tu.....[emoji1787]

Mheshimiwa.P.K aliwaumbua vizuri tu....[emoji1787]

Acheni "janjajanja" siasani....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hata vitabu vitakatifu vinasema hivyo basi pingana na MUNGU wewe dada angu
Mirembe imejaa....wengine mmetorokea JF..

Dunia hii unasema wanawake hawana akili ?!!![emoji1787][emoji1787]

Acha kumtukana dada yangu Tusekelege Erythrocyte......

Aibu kubwa uliyonayo ..

Misogyny

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…