Mbudya Island!! Kisiwa kisichojulikana’ Bahari ya Hindi

Bongoyo kunatembelewa sana watu wanaopenda ukimya,ukiwa slipway ijumaa,jumamosi,jumapili
Watu wengi wanakwenda ila watu wTuluvu
Bongoyo chenyewe kuna sehemu wako kenge wengi tu na majoka

Ova
 
shhhhhh! sasa unataka kijulikane ili iweje? unataka watu wafurike huko na kukiharibu? kaa kimya waache wasikijue …
 
Angalizo: Ukienda Mbudya kama wewe kuogelea kwako kwa wasiwasi (Yaani sio hodari/hujakulia maji) usiende maji marefu/kimiani.
Pana mkondo bahari pale, maji yake nungwi/yanapinda pinda na yana mwendo, inakubidi uwe hodari na jabari kuzamia kimiani mitaa ile.

Nakazia: Kama huyajui maji vyema, Mbudya usijitie ujuaji, oga ufukweni, cheza mchangani, sogea maji ya kifua vaa uende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…