Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

Bado tuna kazi ya ziada.barabara na sara and asi wapi na wapi? Anafundisha nini kwa kizazi kijacho.poor!
 
Mbona Philip marmo ameshwai kuwa kiongozi mkubwa sna alishindwa vip kupeleka hata km 2 tu mjini mbulu pale
Ndugu mwananchi mwenzangu... hivi hujui kuwa kwa hii Katiba tuliyonayo sasa Mbunge hapeleki chochote jimboni kwake zaidi ya kupiga makelele na kuishawishi serikali kuu? Na serikali kuu nayo inaangalia kule iliko na maslahi nako. Hata fedha zikitengwa na wataalamu bado serikali kuu inazitia kwapani.
Na kwamba hayo yote yakifanyika wananchi hamna chochote mnaweza kuifanya serikali zaidi ya kuhimizwa kushiriki kampeni za uchaguzi?!

Noma zaidi kama jimbo liko chini ya mpinzani au mwanaccm wasiyemtaka! Mtasota sana. Arusha na Makongo ni mashahidi!
 
Mimi naendelea kusisitiza
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…