Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2235452
Ni Flatei mbunge wa Mbulu vijijini mara baada ya kuchukizwa na ubovu wa miundombinu Jimboni kwake.
Nimecheka sana leo duh 😅😅😅
Ndugu mwananchi mwenzangu... hivi hujui kuwa kwa hii Katiba tuliyonayo sasa Mbunge hapeleki chochote jimboni kwake zaidi ya kupiga makelele na kuishawishi serikali kuu? Na serikali kuu nayo inaangalia kule iliko na maslahi nako. Hata fedha zikitengwa na wataalamu bado serikali kuu inazitia kwapani.Mbona Philip marmo ameshwai kuwa kiongozi mkubwa sna alishindwa vip kupeleka hata km 2 tu mjini mbulu pale
Mimi naendelea kusisitizaMbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika
Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka?
Pia soma: Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay almanusura kupiga sarakasi Bungeni ili ajengewe barabara jimboni
My friend Mshana, juzi you criticised a Balozi for dancing in his house?Utaambiwa ni privacy yake
Katiba mpya ndio kila kitundio maana wanalazimishwa kura za wazi, lakini wao ni wawakilishi wa wananchi sio chama
Jamaa jinga sana sijui ndio ilikuwa mara ya kwanza kusikia wapinzani wanetoka nje ya bunge, duniani kote wanafanya hivyo.Acha kuleta mifano yakijinga ili kutetea ujinga.
HahaaaSafari itakuwa ndefu sana