Mbunge Agnes Marwa akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu

Mbunge Agnes Marwa akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu.

Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka kutatua tatizo hili haswa mkoa wa Mara❓

Back
Top Bottom