Mbunge alazimishwa Kunywa Maji machafu na Wananchi wake

Na tuliahidiwa tutafunguliwa chuo cha uvuvi ...... dah.... samaleku mbunge wetu wa mchongo
 
Na tuliahidiwa tutafunguliwa chuo cha uvuvi ...... dah.... samaleku mbunge wetu wa mchongo
Juzi nilimuona Mbezi Beach hii ya huku Mtaa wa Maguruwe mita chache na Nyumba aishiyo Msanii wenu Rayvanny na nikashangaa kumuona Kapungua / Kakonda vipi Gridi ya Taifa imeanza Kusoma Mita namba Kwake?
 
KATAVI: Wananchi wa Mitaa ya Milupwa na Mtemibeda Wilaya ya Mpanda wamemlazimisha Mbunge wao, Sebastian Kapufi (CCM), kunywa Maji Machafu ili kumuonesha hali halisi wanayopitia kwa kukosa Huduma ya Maji Safi na Salama

Wananchi walisikika wakilalamika mbele ya Mbunge na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi, Rehema Nelson "Tumekuja nayo makusudi ili anywe atusaidie kuisimamia Serikali itatue changamoto hii,"
 
Yeah I'm so much proud being a Pressman , Communication Expert and Critical Thinker from my lovely Varsity Saint Augustine Mwanza.
Siku tuandikie hebari kwa hati mkato, habari ya siri, [emoji16],
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…