Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

Wengi siyo wamiliki wa vyombo vya usafiri
1.Kuna watu wanalipa kodi ya aridhi kwa mashamba wanayomiliki, wakati wengine wanalima bure
2. Kuna watu wanalipa kodi ya ardhi walipojenga wakati wengine hawalipi hasa huko vijijini
3. Kuna watu wanalipa kodi ya majengo wakati wengine hawalipi hasa huko vijijini ambako unakuta kuna nyumba za thamani kuliko hata za mjini
4.Watumishi wote wa umma wanalipa kodi inayokatwa kwenye mishahara yao wakati ktk sekta binafsi wachache sana wanakatwa kodi.
Nadhani hakuna sheria au mfumo wa kukusanya kodi utakaogusa watu wote au kuwa balanced usiumize japo sehemu kidogo ya jamii.
Kama Serikali itakubali ushauri huu wa kukusanya kodi kwenye mafuta, watakuwa wameondoa usumbufu na ukandamizaji kwa kiasi mkubwa.
 
Nauliza hyo sheria si walipitisha wao?Hawakuiona ina weaknesses?
 
Hili jambo litasaidia kwa upande mmoja endapo gharama ya nishati ikaongezwa kwa kiasi kidogo sana kama vile nyongeza ya Tsh. 30/= per litre na endapo wakikurupuka na kuweka nyongeza ya gharama ya nishati kuwa kubwa...hapo itatuletea noma kabisa.
 
Na waondoe tozo ya fire extinguisher maana siku hizi ni disposable
 


!
!
Kwa hiyo wenye majenereta.... Pembejeo kama pawatila, chen soo nazo zilipe Road license? [HASHTAG]#nyambafuuu[/HASHTAG]
 
Mpango ni Dr asiyejua maana ya VAT nilicheka sana
 
Reactions: SDG
!
!
Kwa hiyo wenye majenereta.... Pembejeo kama pawatila, chen soo nazo zilipe Road license? [HASHTAG]#nyambafuuu[/HASHTAG]
No, naona kutakuwa na mfumo maalum wa kuingiza namba ya gari husika... Ila najiuliza kama je mtu akija kununua na kidumu itakuwaje?

Na je gari ikizimikia njiani wale wazee wa videbe

Hapo si ndio bye bye hayo malipo yatakuwa hayaendi... Kazi ipo
 
Naunga mkono hoja,hii hata wasio na magari watalipa maana itakuwa ndani ya nauli ya daladala,maana hata wao wanatumia barabara.
Ina kikomo, kama ukiwa muweka mafuta mara kwa mara kama madaladala basi road license yako utailipa haraka... Kisha una nunua mafuta tu bila makato mengine

Mfano tanesco, walivyo anzaga na luku huku nyumba ikiwa na deni. Wanakupa umeme ila kila unavyo nunua umeme pia wanapunguza deni lao taratibu
 
Hili jambo litasaidia kwa upande mmoja endapo gharama ya nishati ikaongezwa kwa kiasi kidogo sana kama vile nyongeza ya Tsh. 30/= per litre na endapo wakikurupuka na kuweka nyongeza ya gharama ya nishati kuwa kubwa...hapo itatuletea noma kabisa.
Unarudi kwenye baiskeli,ujenge afya ya mwili pia!
 
Ndio maana tunasema wabunge wa ccm ni majuha wao ndio waliopitisha hii sheria kwa mbwembwe fk them
 
Hapa chegeni kaongea jambo la msingi sana, wapo wabunge nadra sana kuwasikia wakiongea ila akiongea point tupu, zamani tulikuwa na magari matatu moja la kuendea kazini moja la kuendea shamba na jingine la kuendela msikitini na kwenye harusi, sasa hivi mtu anabakiza gari moja tu kisa road licence! tena ya hovyo kweli gari liko polisi kama kidhibiti bado unaambiwa ulipie road licence kama sio mambo ya kijinga tu.
 
Nimelichinja gari langu nauza spea kwa ajili ya mambo hayo hayo ya road licence, gari limekaa police miaka 3 halafu nilipe tena tra bora kukosa wote
 
Kutakuwa na vituo vya aina mbili. Vtuo vya mafuta vya wenye vyombo vya moto (gari,pkpk nk), Na vituo vya mafuta kwa ajili ya majenereta na vifaa vingine visivyotembea baraabarani????
Kwa visivyotembea waanzishe parklicence[emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…