Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hivi Idris sio mchumba wake?mara anataka kurudiana na diamond mara ana mimba ya mbunge tushike lipi sasa. Dianond atalea mimba ya mbunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Idris sio mchumba wake?mara anataka kurudiana na diamond mara ana mimba ya mbunge tushike lipi sasa. Dianond atalea mimba ya mbunge.
Hapo hakuna mimba ni story za kutunga tuu....Itakuwa kasingiziwa hiyo
Hivi Idris sio mchumba wake?
huyo mbunge kabila gani ? mimi hata kama leo hii wema ananipa .... yake lazima nivai kondom mbili hadi tatu. namshangaa huyo aliyemla kavu kavu kweli hapa kazi tu.
Atakaye tembea na WEMA miaka michache shokoromaiza hazitafanya kazi tena..
Hivi huyu ni mume wa Zari au hawara? au mimi ndio sijui tafsiri ya mume?Mimba ya Mnamibia nayo iliishia wapi?
Kwa hiyo ndio kumaansisha bado anawachezeza dana dana wanaume kiunoni mwake kwa...duh
Haya mwili wako, ila acha tu kumtaja taja Naseeb aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari.
Hivi huyu ni mume wa Zari au hawara? au mimi ndio sijui tafsiri ya mume?
wema anamiaka 32
wema ana miaka 24.
wema ana miaka 24.
wema anamiaka 32
Kwani wasanii umri wao huwa unapanda au unashuka? Wema should be under 18.wema ana miaka 24.