Mbunge anasakwa kama mnyama, bunge limekaa kimya!, nini tafsiri yake?

Jokeri112

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
311
Reaction score
582
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
 
Wanasakana wenyewe kwa wenyewe haoo
 
Wana support sababu mfumo unawafaidisha, wengine hawapend na ni waoga na wanajua wakisema wanapoteza vyeo

Wako at critical point
 
Mhimili mmoja umejivika nguvu hata kuingilia mihimili mingine bila kujali taratibu.
 
Mwenye ile katuni aiweke hapa...😂 alichoraga kipanya yenye mafiga matatu moja kubwa, lingine saizi ya kati na lingone dogo....🤣 alafu juu ya hayo mafiga likawekwa sufuria kubwaaa likichochewa kuni...😜
 
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Mtu kajificha wewe unasema anasakwa. Wafuasi wa Braza K Mapovu mmebobea kwenye uzushi.
 
Hakuna hata anaemsaka mwambie atoke huko mafichoni atafute shughuli ya kufanya maana kanisa hatulifungui mpaka uchaguzi upite na ubunge hapati
Haha! Ungesema ukweli .Gwajima anatafutwa aidha Kwa kikao maalumu au kupoteza kabisa.

Kumbuka na Gwajima anautaka urais ila kimtindo .
 
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Wewe umesahau ya sakata la Tundu Lissu mwaka 2017...?

Ni kuwa ukishatishia maslahi ya ufalme wa GIZA tu, hata waliokuwa wenzako watakugeuka...!

Wabunge wenzake na Gwajima wanatamani akamatwe na achinjwe hadharani...!

Sakata la Tundu Lissu mwaka 2017, Spika Ndugai aliagizwa kuwa, akishakufa, asiingizwe kwenye ukumbi wa Bunge kuagwa na badala yake apitilizwe moja kwa Moja kijijini kwake Singida na kuzikwa huko..!

Na kwa jinsi mambo ya Mungu yalivyo ya kipekee, aliyeagiza Tundu Lissu afe, Rais John P. Magufuli alikufa yeye kijinga na kipuuzi kabisa kama kuku wa kienyeji aliepatwa na gideri na kufia vichakani...!

Shetani anayejaribu kumwandama Askofu Gwajima na huduma yake ya kanisa ndiye yuleyule aliyemwandama Tundu Lissu mwaka 2017..!!

Ameshashindwa tayari...

Acha waendelee kukukuruka na uchawi na waganga wao wa kienyeji , lakini mwisho wa siku wataanza kulala chini mmoja baada ya mwingine...!!
 
Back
Top Bottom