Kufanya hayo kunampa mtu tiketi ya kuua?
Unafikiri unaweza kufanya hivyo bila wahuni kukupinga. US,EU Kuna haki nyingi, haki za msingi ni Kusaidia haki ya kusikilizwa popote, kulinda usalama wako,mali zako, haki za maji safi, elimu, afya, umeme miundombinu, nidhamu, kusikilizwa kwa Watanzaniania milioni 60,hizi ni haki msingi.
Kikwazo kimoja kitaondoelewa hata ungekuwa wewe kiongozi, 60 milioni kwanza, Unapambana na jasusi wa Kitanzania kwa niaba ya EU, US, Makampuni uliyoyapiga pini.
Ulaya usipoleta maji, umeme, barabara kufika kazini, siku mbili nchi yoyote ulays nchi nzima itaandamana.
Tukipata hizi haji za haki msingi kabisa za elimu, afya bora, kukindwa haki zako baadaye tunapata haki, uwezo wa kukosea, kushauri hata kutukana sababu mmepewa elimu na Nyerere., elimu za kuongea, kutukana, kurekebisha nk.
EU,USA wamelijikita kwanza kwa haki za kidemakrasia sababu wanapata haki za msingi siku zote.
Mjifunze kitu kuna fundamental right, primary right, haki za kuishi kwanza kabla ya zenu za kutukana. Watu waliokusaidia kukupa hizo haki zote.
Kabla ya kupata haki za kidemakrasia inabidi taifa lipate elimu, afya, miundombinu, nidhamu, kuondoa rushwa, ufisadi, matabaka. Ujitambue, hata neno haki, wajibu, sheria, demokrasia ni nin nini.
Kuleta mifumo thabiti. Ilikuwa natural process, stepping stone kupata katiba mpya.
Mkaanza kumuita, mshamba, dikteta uchwara, msukuma, wasukuma, kanda ya ziwa wote ni wajinga. Mkafanikiwa kumuondoa duniani. Mmefanikiwa nini sasa hivi?