Mbunge anasakwa kama mnyama, bunge limekaa kimya!, nini tafsiri yake?

Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Huyo mburura amejitakia
 
Unafikiri unaweza kufanya hivyo bila wahuni kukupinga. US,EU Kuna haki nyingi, Kusaidia haki maji safi, elimu, afya, imeme miundombinu, nidhamu, kusikilizwa kwa Watanzaniania milioni 60, kikwazo kitaondoelewa hata ungekuwa wewe kiongozi.

EU,USA wamelijikita kwz haki za kimekrasia wakati ule.

Mjifunze kitu kabla ya kupata haki za kidemakrasia inabidi taifa lipate elimu, afya, miundombinu, nidhamu, kuondoa rushwa, ufisadi, matabaka.

Kuleta mifumo thabiti. Ilikuwa natural process, stepping stone kupata katiba mpya.

Mkaanza kumuita, mshamba, dikteta uchwara, msukuma na wasukuma, kanda ya ziwa wote ni wajinga. Mkafanikiwa kumuondoa duniani. Mmefanikiwa nini sasa hivi?
So kwako kuteka na kuua ndio solution ya usiokubaliana nao, kumbuka kesho atakuja usiyekubaliana naye, hope utamshangilia akianza kuwaua na kuwateka
 
Bunge let.u halina tofauti na choo cha stendi.
 
Hao waliozimiwa live TV na Magufuli na speaker wake akaishia kufukuzwa kama mbwa na Samia, ni bunge la uchawa na watu wajinga, wangejua nguvu zao ambazo zinaweza kumwondoa Raisi wasingechezewa, lakini unategemea nini baada ya wote kuwekwa kwa kura za wizi na Magufuli, JPM aliharibu nchi sana kwa uhuni aliofanya wa kuharibu mfumo mzima wa uchaguzi na itagharimu Taifa miaka mingi ijayo tusipobadilika, JPM ndio alileta hii culture ya uchawa, wizi wa kura, utekaji na uuaji etc mnamsifia madaraja aliyojenga lakini aliua kabisa foundation ya Taifa huru
Sijaona UVCCM kila mkoa kutoka kulaani suala la Gwajima Kuna kitu
 
So kwako kuteka na kuua ndio solution ya usiokubaliana nao, kumbuka kesho atakuja usiyekubaliana naye, hope utamshangilia akianza kuwaua na kuwateka
Usikariri, kuna situation kumuondoa mtu mmoja ni sawa, kabisa. Ni kulisaidia Taifa lilinde rasilimali zake, haki zake. Watu wake. haki za Watanzania milioni 60.

Siongelei sasa hivi kumfunga Lissu, kunyima haki za msingi za chama cha Chadema, kuteka, kubaka, kulawiti au kumfungia kanisa Gwajima. Hapo tunakosea sana kama Taifa.
 
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Hao ni fisi
 
Wewe umesahau ya sakata la Tundu Lissu mwaka 2017...?

Ni kuwa ukishatishia maslahi ya ufalme wa GIZA tu, hata waliokuwa wenzako watakugeuka...!

Wabunge wenzake na Gwajima wanatamani akamatwe na achinjwe hadharani...!

Sakata la Tundu Lissu mwaka 2017, Spika Ndugai aliagizwa kuwa, akishakufa, asiingizwe kwenye ukumbi wa Bunge kuagwa na badala yake apitilizwe moja kwa Moja kijijini kwake Singida na kuzikwa huko..!

Na kwa jinsi mambo ya Mungu yalivyo ya kipekee, aliyeagiza Tundu Lissu afe, Rais John P. Magufuli alikufa yeye kijinga na kipuuzi kabisa kama kuku wa kienyeji aliepatwa na gideri na kufia vichakani...!

Shetani anayejaribu kumwandama Askofu Gwajima na huduma yake ya kanisa ndiye yuleyule aliyemwandama Tundu Lissu mwaka 2017..!!

Ameshashindwa tayari...

Acha waendelee kukukuruka na uchawi na waganga wao wa kienyeji , lakini mwisho wa siku wataanza kulala chini mmoja baada ya mwingine...!!
Hii changamoto inatokana na fikra za kitumwa kwa waliowengi.
Uwepo wa watu wa kuhoji ni uthibitisho wa uhai wa jamii na taifa kwa ujumla.
Hata kwenye familia, baba, mama na watoto wakubwa lazima wawe na fikra tofauti ambazo zitatafuta muafaka.
Kutofautiana kimawazo ni jambo la kawaida kwenye kundi la watu.
 
Huu sio mkwara ndugu, ni reality, ni fact 100%

Kwani aliyekuwa Rais by then, Mzee John P. Magufuli hakufia vichochoroni (zahanati ya Mzena) kama kuku wa kienyeji aliyeugua ugonjwa wa gideri?

Huyu si ndiye alitetaka kumuua Tundu Lissu mwaka 2017? Hata baada ya Mungu kukizuia kifo kisimchukue kwanza Tundu Lissu, bado huyu hayawani mwaka 2020 akaanza tena kumuwinda Ili ammalize?

Shukrani kwa ubalozi wa Ujerumani kwa kumwokoa huyu ndugu
We bwege ukiambiwa ulete uthibitisho Nina uhakika huna Kwa 100% yaani ***** kama wewe umtukane magufuli unafikiri utampunguzia nini yeye kashamaliza kazi yake yupo chini ya ardhi umebaki we ***** hapa duniani ambaye unaogopa kupambana na utawala wa mwanamke unaitukana maiti
 
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Kwani yeye siyo mnyama. Every human is a social animal.
 
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Kwa bunge hili hakuna kitu mkuu
 
Usikariri, kuna situation kumuondoa mtu mmoja ni sawa, kabisa. Ni kulisaidia Taifa lilinde rasilimali zake, haki zake. Watu wake. haki za Watanzania milioni 60.

Siongelei sasa hivi kumfunga Lissu, kunyima haki za msingi za chama cha Chadema, kuteka, kubaka, kulawiti au kumfungia kanisa Gwajima. Hapo tunakosea sana kama Taifa.
Acha kujitoa ufahamu na usituchanganye, wanaotekwa na kuuliwa wote sio tishio kwa nchi zaidi ya kuwa wapinzani tuu kisiasa na unajua hilo, nani kauliwa kwa ajiri ni tishio kwa nchi zaidi ya vyeo na sera zao
 
Awamu ya tano ni tofauti. Awamu ya tano walijali zaidi wanaopinga miradi ya kizalendo,kukupatia wewe maji, elimu, umeme Internet, barabara, kuhakikisha unaumshemika ukienda kila ofisi ya umma. Kupata haki hako, nidhamu serikalini. Kutumbua wahuni wote.

Walikuwezesha wewe kupiga kelele leo.
 
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Hivi huyu si alipora ubunge wa Kamanda wetu Dada Halima Mdee?
 
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.

Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Wabunge wa ccm wameshajua msimamo wa Samia ni upi kwenye hilo jambo hawezi kusema kitu. Wabunge wetu ni post event.
 
Toa ujinga wako hapa. Hakashifiwi kwa lolote..!!

Fala na mjinga ni wewe usiyejua lolote kumhusu huyo mtu isipokuwa kusema tu "tulikuwa tunampenda"

Unaweza kupenda hata kinyesi wewe na ukiulizwa, utasema "si watu wanapenda mavi!". Very stupid Lookmalasin !!

I am describing what was his characters & behaviour..

He was an assassin...

He assassinated many including Ben Sanane with his bare hands in one of the rooms in OUR STATE HOUSE 🏠 🏠 Magogoni, DSM (reference: Erick Kabendera's book)

He failed in several occasions to assassinate Tundu Lissu, profoundly 2017 popular assassination attempt in Dodoma..

So what good was in him?

Kama ulikuwa unampenda sana, kajichimbie ndani ya kaburi lake Chato Ili nawe uoze nae..

Tuondolee utetezi wako wa kijinga hapa...
Unatetea Acacia walichukua alimilia kubwa ya kila kitu . JPM akija na Twiga ilikuw 50/50 kwanini unapinga. Pia tuna wajumbe kwenye maamuzi yoyote.
 
Back
Top Bottom