Wanasakana wenyewe kwa wenyewe haooHabari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Wana support sababu mfumo unawafaidisha, wengine hawapend na ni waoga na wanajua wakisema wanapoteza vyeoHabari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Huu ni ubinafsi wa kiwango Cha SGR. This country needs a lot of reformsSasa wabunge wa mboga mboga ni wakumtetea mtu? Kila mtu anaangalia ugali wake.
Suluhisho ni KATIBA MPYASasa hivi taasisi moja tu ndio inayoliburuza taifa hadi kwenye tanuri la moto.Mungu tusaidie.
Reforms kwenye mfumo wa uchaguzi hawataki imagine Katiba mpya?Suluhisho ni KATIBA MPYA
HakikaMuda ni rafiki mwema
Mtu kajificha wewe unasema anasakwa. Wafuasi wa Braza K Mapovu mmebobea kwenye uzushi.Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Inawezekana mkuuau pengine walilala naye mbele
Haha! Ungesema ukweli .Gwajima anatafutwa aidha Kwa kikao maalumu au kupoteza kabisa.Hakuna hata anaemsaka mwambie atoke huko mafichoni atafute shughuli ya kufanya maana kanisa hatulifungui mpaka uchaguzi upite na ubunge hapati
Wewe umesahau ya sakata la Tundu Lissu mwaka 2017...?Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.