Mbunge anasakwa kama mnyama, bunge limekaa kimya!, nini tafsiri yake?

Pale ndani wa kumuulizia au ambaye anajielewa ni WA kisesa tu...
 
I feel your pain bro!. Mungu wetu hashindwi kitu hili pia litapita na Dr.Bishop.Hon Josephat Gwajima atakuwa salama. Inshallah
 
Mikwara tu hii
 
Point of corrections. Huyu Mbunge hasakwi kama ngedere bali anasakwa zaidi ya Osama Bin Laden, an enemy of humanity. Na kwakuwa yeye anajijua sio mtu mzuri ndio maana amejificha kama Osama Bin Laden, an enemy of humanity!

Huyu mtu angelikuwa ni muungwana, angelikutwa "madhabahuni" anasali na kumwomba Mungu (au shetani) wake amponye na masahibu yaliyo mbele yake na siyo kujificha kama Saddam au Gaddafi.
 
Thanks kwa correction mkuu. Kwa mujibu wa watu wake wa karibu ni kwamba yupo katika mfungo wa kusali na kuomba. Anyway uhuru wa maoni siku hizi ni "enemy of humanity?"
 
Hata ADAM alipo kiuka mashari pale edeni alisakwa huko mafichoni alikutwa tena yu mtupu.
Uhuru ushikiriwa na mtawala akiamua kukunyang'anya Huna ujanja.
Leo serikali ikisema mwisho 12 jioni muwe ndani lazima utii.
Kipindi cha covid19 serikali nyingi zilifungia watu ndani na wengine walikamatwa kama wamekiuka amri.lakini bongo serikali iligoma kufungia raia.
Uhuru uliletwa na shetani kwa kumdanganya Adam kupitia eva kuwa wanatakiwa waishi watakavyo bila kufata amri ya mtawala MUNGU lakini kiliwalamba(wanavyo sema).
Kwahiyo tunakuja tambua kuwa uhuru huwa tunapewa.mfano wewe mzazi nyumbani unakuta wanao wana vuta+kunywa nyumbani kwako utafanyaje(under 18)(action).
Mataifa ya nje makubwa yanayo nyonya afrika yakibaini raia wake anataka kusariti iwe kushiriki au kutoa taarifa au kutumika action yake ni kuuwawa au kufungwa ili kulinda vizazi.
Napenda tupate kiongozi mpenda haki siungi mkono mtu kuonewa,napenda mafeuzi ya wazalendo sio mtu kwa tija yake binafsi na kikundi fulani.naimani tutaokoka kwa kupata viongozi wenye uzalendo sio hawa wa kucheza na akili za media.
 
Alijiuzulu ubunge
 
Well said mkuu!
 
Kwa mfano wakimpata wakamalizana naye huko huko halafu wakaendelea sema bado wanamtafuta nani atajua?
 
Unganisheni nyuzi zote za gwajiboy

Myoto

Acha ale ujuvi wake
 
Bunge gani unaliongelea?
 
Hakuna hata anaemsaka mwambie atoke huko mafichoni atafute shughuli ya kufanya maana kanisa hatulifungui mpaka uchaguzi upite na ubunge hapati
Halafu hapo ulipo maisha yako ni ya kuunga unga na hujui utakula nini kesho kapuku mkubwa wewe uje ulinganishe maisha yako na aliyefungiwa kanisa?

Anamaisha mazuri hata asipofanya kazi kokote kule hata umauti wake hawezi kuombaomba kama wewe
 
Hakuna bunge hapo bali kuna kundi la wapigaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…