The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Huu sio mkwara ndugu, ni reality, ni fact 100%Mikwara tu hii
Soma vizuri kinga ya kibunge sio kelele tu ,mbunge akizingua nje ya bunge atapasuka huko hukoHabari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Ni kwamba huo kwa sasa sio muhimili unajitegemea. Wote wanamuogopa Mzimkazi. Hawaamini mamlaka yao, hawajui ni wasimami wa serikali kwa niaba ya Watanzania.Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Wewe Fala hacha kumkashifu Magufuli kwa kila post yako. Watanzania wanampenda kuliko wewe, upinzani, CCM yote pamoja.Huu sio mkwara ndugu, ni reality, ni fact 100%
Kwani aliyekuwa Rais by then, Mzee John P. Magufuli hakufia vichochoroni (zahanati ya Mzena) kama kuku wa kienyeji aliyeugua ugonjwa wa gideri?
Huyu si ndiye alitetaka kumuua Tundu Lissu mwaka 2017? Hata baada ya Mungu kukizuia kifo kisimchukue kwanza Tundu Lissu, bado huyu hayawani mwaka 2020 akaanza tena kumuwinda Ili ammalize?
Shukrani kwa ubalozi wa Ujerumani kwa kumwokoa huyu ndugu
Kuna Bunge nchi hii au kikundi cha majizi?Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
nchi inajifia kwa ukosefu wa akili kama huuPoint of corrections. Huyu Mbunge hasakwi kama ngedere bali anasakwa zaidi ya Osama Bin Laden, an enemy of humanity. Na kwakuwa yeye anajijua sio mtu mzuri ndio maana amejificha kama Osama Bin Laden, an enemy of humanity!
Huyu mtu angelikuwa ni muungwana, angelikutwa "madhabahuni" anasali na kumwomba Mungu (au shetani) wake amponye na masahibu yaliyo mbele yake na siyo kujificha kama Saddam au Gaddafi.
Bunge halipo huru. Yaani rais ana mamlaka ya kuamrisha hata spika wa bunge auawe na hakuna sheria na kumshitaki raisHabari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Na itaokolewa na uwezo wa juu wa akili kama wako eti?nchi inajifia kwa ukosefu wa akili kama huu
Toa ujinga wako hapa. Hakashifiwi kwa lolote..!!Wewe Fala hacha kumkashifu Magufuli kwa kila post yako. Watanzania wanampenda kuliko wewe, upinzani, CCM yote pamoja.
Hakuna bunge ni genge la walafi tuHabari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Huwezi kuzuia haki ya watu milioni 60,kisa umepewa pesa kutetea upuuzi wako. Dili jipya,Twiga company limeipa Taifa faida kubwa sana,ni mfano duniani jinsi ya ku -share rasilimali za Taifa lolote kuwanufaisha pia wananchi.Huu sio mkwara ndugu, ni reality, ni fact 100%
Kwani aliyekuwa Rais by then, Mzee John P. Magufuli hakufia vichochoroni (zahanati ya Mzena) kama kuku wa kienyeji aliyeugua ugonjwa wa gideri?
Huyu si ndiye alitetaka kumuua Tundu Lissu mwaka 2017? Hata baada ya Mungu kukizuia kifo kisimchukue kwanza Tundu Lissu, bado huyu hayawani mwaka 2020 akaanza tena kumuwinda Ili ammalize?
Shukrani kwa ubalozi wa Ujerumani kwa kumwokoa huyu ndugu
Mtalifu gua kule midege yenu imezuiwa anga za watuHakuna hata anaemsaka mwambie atoke huko mafichoni atafute shughuli ya kufanya maana kanisa hatulifungui mpaka uchaguzi upite na ubunge hapati
Wewe umeilifanyia nini Taifa? Unampinga mzalendo JPM mnapewa muhuni SSH, mliompanda JPM na kumpigania SSH, sasa hivi unageuka. Wewe ni kiguegeu mpuuzi, usiojua uzalendo ni nini?Toa ujinga wako hapa. Hakashifiwi kwa lolote..!!
Fala na mjinga ni wewe usiyejua lolote kumhusu huyo mtu isipokuwa kusema tu "tulikuwa tunampenda"
Unaweza kupenda hata kinyesi wewe na ukiulizwa, utasema "si watu wanapenda mavi!". Very stupid Lookmalasin !!
I am describing what was his characters & behaviour..
He was an assassin...
He assassinated many including Ben Sanane with his bare hands in one of the rooms in OUR STATE HOUSE 🏠 🏠 Magogoni, DSM (reference: Erick Kabendera's book)
He failed in several occasions to assassinate Tundu Lissu, profoundly 2017 popular assassination attempt in Dodoma..
So what good was in him?
Kama ulikuwa unampenda sana, kajichimbie ndani ya kaburi lake Chato Ili nawe uoze nae..
Tuondolee utetezi wako wa kijinga hapa...
Kufanya hayo kunampa mtu tiketi ya kuua?Wewe Fala hacha kumkashifu Magufuli kwa kila post yako. Watanzania wanampenda kuliko wewe, upinzani, CCM yote pamoja.
Yeye alifanya vitu vya msingi kuwapa umeme, maji, barabaraba, shule, hospitali, haki za kijamii, kiuchumi,kusikilizwa.
Alilinda rasilimali za nchi., alikuwa mzalendo. Wewe mpuuzi na wenzako mlikuwa mnamsifia Samia, mlikuwa mshangilia ubaguzi Sukuma gang, Mama anaupiga mwingi. Hamkutaka rasilimali zimilikiwe na Watanzania kama sheria aliyoiteta Magufuli.
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote binafsi haijakaa sawa. au wanasuburi mpaka jambo baya limtokee Kisha watoe tamko?, Je TAFSIRI yake ni kwamba huu mhimili unewekwa mfukoni na mhimili mwingine?
Unafikiri unaweza kufanya hivyo bila wahuni kukupinga. US,EU Kuna haki nyingi, haki za msingi ni Kusaidia haki ya kusikilizwa popote, kulinda usalama wako,mali zako, haki za maji safi, elimu, afya, umeme miundombinu, nidhamu, kusikilizwa kwa Watanzaniania milioni 60,hizi ni haki msingi.Kufanya hayo kunampa mtu tiketi ya kuua?
Mungu akaingilia kati wakati sahihiWewe umesahau ya sakata la Tundu Lissu mwaka 2017...?
Ni kuwa ukishatishia maslahi ya ufalme wa GIZA tu, hata waliokuwa wenzako watakugeuka...!
Wabunge wenzake na Gwajima wanatamani akamatwe na achinjwe hadharani...!
Sakata la Tundu Lissu mwaka 2017, Spika Ndugai aliagizwa kuwa, akishakufa, asiingizwe kwenye ukumbi wa Bunge kuagwa na badala yake apitilizwe moja kwa Moja kijijini kwake Singida na kuzikwa huko..!
Na kwa jinsi mambo ya Mungu yalivyo ya kipekee, aliyeagiza Tundu Lissu afe, Rais John P. Magufuli alikufa yeye kijinga na kipuuzi kabisa kama kuku wa kienyeji aliepatwa na gideri na kufia vichakani...!
Shetani anayejaribu kumwandama Askofu Gwajima na huduma yake ya kanisa ndiye yuleyule aliyemwandama Tundu Lissu mwaka 2017..!!
Ameshashindwa tayari...
Acha waendelee kukukuruka na uchawi na waganga wao wa kienyeji , lakini mwisho wa siku wataanza kulala chini mmoja baada ya mwingine...!!