Mbunge anasakwa kama mnyama, bunge limekaa kimya!, nini tafsiri yake?

Huyo mburura amejitakia
 
So kwako kuteka na kuua ndio solution ya usiokubaliana nao, kumbuka kesho atakuja usiyekubaliana naye, hope utamshangilia akianza kuwaua na kuwateka
 
Bunge let.u halina tofauti na choo cha stendi.
 
Sijaona UVCCM kila mkoa kutoka kulaani suala la Gwajima Kuna kitu
 
So kwako kuteka na kuua ndio solution ya usiokubaliana nao, kumbuka kesho atakuja usiyekubaliana naye, hope utamshangilia akianza kuwaua na kuwateka
Usikariri, kuna situation kumuondoa mtu mmoja ni sawa, kabisa. Ni kulisaidia Taifa lilinde rasilimali zake, haki zake. Watu wake. haki za Watanzania milioni 60.

Siongelei sasa hivi kumfunga Lissu, kunyima haki za msingi za chama cha Chadema, kuteka, kubaka, kulawiti au kumfungia kanisa Gwajima. Hapo tunakosea sana kama Taifa.
 
Hao ni fisi
 
Hii changamoto inatokana na fikra za kitumwa kwa waliowengi.
Uwepo wa watu wa kuhoji ni uthibitisho wa uhai wa jamii na taifa kwa ujumla.
Hata kwenye familia, baba, mama na watoto wakubwa lazima wawe na fikra tofauti ambazo zitatafuta muafaka.
Kutofautiana kimawazo ni jambo la kawaida kwenye kundi la watu.
 
We bwege ukiambiwa ulete uthibitisho Nina uhakika huna Kwa 100% yaani ***** kama wewe umtukane magufuli unafikiri utampunguzia nini yeye kashamaliza kazi yake yupo chini ya ardhi umebaki we ***** hapa duniani ambaye unaogopa kupambana na utawala wa mwanamke unaitukana maiti
 
Kwani yeye siyo mnyama. Every human is a social animal.
 
Kwa bunge hili hakuna kitu mkuu
 
Acha kujitoa ufahamu na usituchanganye, wanaotekwa na kuuliwa wote sio tishio kwa nchi zaidi ya kuwa wapinzani tuu kisiasa na unajua hilo, nani kauliwa kwa ajiri ni tishio kwa nchi zaidi ya vyeo na sera zao
 
Acha kujitoa ufahamu na usituchanganye, wanaotekwa na kuuliwa wote sio tishio kwa nchi zaidi ya kuwa wapinzani tuu kisiasa na unajua hilo, nani kauliwa kwa ajiri ni tishio kwa nchi zaidi ya vyeo na sera zao
Awamu ya tano ni tofauti. Awamu ya tano walijali zaidi wanaopinga miradi ya kizalendo,kukupatia wewe maji, elimu, umeme Internet, barabara, kuhakikisha unaumshemika ukienda kila ofisi ya umma. Kupata haki hako, nidhamu serikalini. Kutumbua wahuni wote.

Walikuwezesha wewe kupiga kelele leo.
 
Hivi huyu si alipora ubunge wa Kamanda wetu Dada Halima Mdee?
 
Wabunge wa ccm wameshajua msimamo wa Samia ni upi kwenye hilo jambo hawezi kusema kitu. Wabunge wetu ni post event.
 
Unatetea Acacia walichukua alimilia kubwa ya kila kitu . JPM akija na Twiga ilikuw 50/50 kwanini unapinga. Pia tuna wajumbe kwenye maamuzi yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…