Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.

Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo.

Amesema katika kulitafuta vazi la Taifa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kuhakikisha linapatikana vazi lenye stara, ustaarabu, heshima, linaloonesha unadhifu na linaloweza kuvaliwa na yeyote.

View attachment 2903710
Hawa vibaka wa mwendawazimu mwendazake wanakera sana
 
Eee! Mungu hili Taifa tumekukosea nini.
Kwamba tunaviongozi wapumbavu kiasi hichi watu hatuna umeme yapayapo yanachekena kama mzuzu tu hapo bungeni.

Aisee. Unaweza kuongea ukaonekana hufai kumbe.
...Yaani na Wanaume wavae mvao wa Mama Samia ulio Vazi la Taifa ?
Mbunge tutake radhi tafadhali...! [emoji35][emoji35]
 
Kuna haja watanzania tuchukue hatua,hebu fikiria wabunge kama hawa ndo wanatutungia sheria
 
sasa vazi lenyewe la mama ukienda madukani unalipata,kwanini tusitumie kanga ama hata batiki zetu kutokea kule kigoma,naona bunge linaenda kukosa heshima yake
 
Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.

Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo.

Amesema katika kulitafuta vazi la Taifa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kuhakikisha linapatikana vazi lenye stara, ustaarabu, heshima, linaloonesha unadhifu na linaloweza kuvaliwa na yeyote.

View attachment 2903710
Ni kweli, linatosha kabisa kabisa
 
Zao la uchaguzi wa mwaka 2020 huu.
Safari Bado ni ndefu,wa kimsifia mama acheni abaki Makonda jamani,Bunge la JMT limejaa vilaza ngazi ya PhD holder.

Hii laana sijui Nani atakuja kuiondoa jamani.

Polisi wangekuwa wana fanya kazi zao Kwa ueledi bila kuwa na dablestandard hakika ilitakiwa ccm iondolewe madarakani kupitia kura Sandukuni.

Ila Kwa vile,Tanganyika inaonekana imelaaniwa hakuna namna.
Mambo shaghalavaghala.
Ccm mlaaniwe kasoro Rais popote pale mkopo mazimwi nyie😓
 
Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.

Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo.

Amesema katika kulitafuta vazi la Taifa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kuhakikisha linapatikana vazi lenye stara, ustaarabu, heshima, linaloonesha unadhifu na linaloweza kuvaliwa na yeyote.

View attachment 2903710
Nyimbo za Kusifu na Kuabudu..
Mtakatifu! mtakatifu! mtakatifu! MWENYEZI!
Yeye ni kila kitu Asiyeshindwa kitu
 
Kama raia wamekaa kikondoo na wanajadili Simba na Yanga sasa watu wanataka wanategemea nini? Utavuna ulichopanda. Nchi haiwezi kuwa raia wajinga wajinga halafu viongozi waache kujadili ujinga ujinga.
treat them as they are.......................tuwasaidie wajitambue
 
Eee! Mungu hili Taifa tumekukosea nini.
Kwamba tunaviongozi wapumbavu kiasi hichi watu hatuna umeme yapayapo yanachekena kama mzuzu tu hapo bungeni.

Aisee. Unaweza kuongea ukaonekana hufai kumbe.

What a shame
 
Asee hii nchi imeoza kila kitu
 
Kama raia wamekaa kikondoo na wanajadili Simba na Yanga sasa watu wanataka wanategemea nini? Utavuna ulichopanda. Nchi haiwezi kuwa raia wajinga wajinga halafu viongozi waache kujadili ujinga ujinga.

Naaam, hawa viongozi hawatoki mbinguni, wanatoka kwenye jamii yetu
 
Madhara ya bunge la chama kimoja moja kati ya mambo ya hovyo ambayo Magu aliboronga hili ni mojawapo
 
Huyo mbunge zumbukuku kweli, hivi hata ngao ya taifa hajawahi kuona kuwa kuna mwanauke na mwanauume? Kama vipi mawaziri wote wa kiume, wabunge na watumishi wa umma wakiume wavae kizimkazi tu. Sisi wengine yetu macho!.😳
 
Hii ni nchi, ila tunatawaliwa na Zero Brain Leaders.
Kabisa yaani mbunge mjinga vazi la Taifa wanavaa Wanawake na wanaune Kwa hiyo na wanaume watavaa kama anavyovaa mama Samia?

CCM jamani uchaguzi unakaribia hebu waleteeni watazania wabunge wenye akili jamani hiyo asirudi kabisa
 
Back
Top Bottom