Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah [emoji119]Wakati watu wakienda kuacha kinyesi chooni kumbe wengine huwa mnakwenda kukipakua na kukijaza kichwani. Interesting
NdioKwa hiyo na wanaume tutavaa vazi la Samia?
Wanaongooza nchi hii sehemu kubwa ni zero brainHii ni nchi, ila tunatawaliwa na Zero Brain Leaders.
Mule wamejaa tktk tupuDaah hawa wabunge kiboko bors mawazo ya wabunge wa Tanzania wangekua wanayachukua kwenye shule zinazozunguka maeneo ya wabunge sio hawa watu hamna kitu wanajua hawa jamaa zetu ndio maana unaona wanabaki kujisifia wachumi daraja la kwanza kila kukicha hakuna cha maana kinachofanyika zaidi ya kuongeza Tozo tuu..
hahahahaIla hii nchi kuna muda hata muhusika naona kabisa kuna watu anaona wanamnafkia tu.
hawa chawa wa sasa wamekuwa chotara yaani uzao wa kunguni na chawa hawatuachi salama tusipokuwa makini!
Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa
Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.
Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo.
Amesema katika kulitafuta vazi la Taifa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kuhakikisha linapatikana vazi lenye stara, ustaarabu, heshima, linaloonesha unadhifu na linaloweza kuvaliwa na yeyote.
View attachment 2903710

Bora matikiti yapo kwenye soko mkuu hata pumba za mpunga zipo sokoni labda tuseme hewa tu...Mule wamejaa tktk tupu
Ova