Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

Hii ndio naita out of touch....; Watu hawana umeme mnaletumia muda kuzungumzia vazi la taifa (kwani tupo uchi) ?

Mbili Samia ana Vazi ?!!! (Alibuni Wapi)?

Tatu bila umeme hata hilo vazi tutalipigaje pasi ?!!!
 
Kama ana mume na watoto nawapa pole sana kwa sababu kuwa na mke na mzazi mpumbavu ni aibu kubwa.
 
Mule wamejaa tktk tupu

Ova
 
hawa chawa wa sasa wamekuwa chotara yaani uzao wa kunguni na chawa hawatuachi salama tusipokuwa makini!
 
Viti malumu vifutwe hawana umuhimu wowote mjengoni.

Kuna wabunge mwakani lazima warudi mjengoni
Heche, Mnyika, Nasari, Zitto, Sugu, Mbowe, Msigwa nk
 


Uchaguzi umekaribia kweli
 

Kwa hiyo wanaume nao wajivike kama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…