Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

Kamuoe basi wewe umfichie aibu,

Imeandikwa na Isaya

Kuna kipindi kitafika wanawake 7 watamfuata Mwanaume mmoja alafu watakwambia tutakufanyia kila kitu Ila tu utufichie aibu hii
Huyo kaolewa na Luvanda kitambo Sana

Kinachoendelea sasa ni Friends of Lowasa kutoka mafichoni hilo ni trela tu Picha kamili yaja 🐼
 
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

View attachment 2889716
Hakuna bunge hapo
 
stupid kusanyiko la wajinga
 
Wabunge wanaume wanamkimbia kwa kuogopa gharama za hela ya sabuni.
Wapeni wanawake mahari yao kuwa ni kipawa, tunza iliyo safi. Na nyinyi hamna haki yoyote katika hayo mahari. Ikiwa hao wanawake kwa radhi ya nafsi zao wenyewe wakakubali kusamehe sehemu yoyote ya mahari mliyo kwisha ahadiana, basi hapo mnayo ruhusa kuchukua na mkatumia kwa kheri na salama. Quran tukufu
 
Back
Top Bottom