Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

View attachment 2889716
Wabunge wanaume wanamkimbia kwa kuogopa gharama za hela ya sabuni.
 
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

View attachment 2889716
Namheshimu sana mwanamke mwenzangu huyu lakini sasa ,
Ni posho mill?
mna majibu alafu mnakuja kututega ili mseme Jaji Mfawidhi ndio kasema.
 
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

View attachment 2889716
Namheshimu sana mwana'mke mwenzangu huyu lakini sasa , kama akiwa na haja zake anakutana na vijana wa Iringa wanywa ulanzi kweli atafikishwa?

Si ndio anajitokeza na kulalamika as if wote hawa-wafikishi?
 
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni
Huma mama ahamie Dar tu maana masuala ya hamu hayamuishi katu
 
Back
Top Bottom