Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ili kuongeza ajira ni vizuri apumzike sababu anatunzwa maisha na anapata mafao makubwa asilimia 80 ya waziri mkuu aliyeko madarakani
Atoe hiyo nafasi ya ajira kwa watu wengine kama alivyofanya Makamu wa Raisi Philip Mpango
Pia ni vizuri Raisi mpya anapoingia madarakani awe na timu yake mpya ya kuanzia wabunge mawaziri nk
Mwacheni Mama aunde timu mpya.
Na mbunge aliyetoa hilo wazo naye asirudi bungeni ajira yake naye apishe wengine
usibishane na katiba"Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza."
"Sasa mimi nikasikia maneno maneno unajua bwana, eenh! Waziri Mkuu sasa amemaliza vipindi viwili akienda huku sasa, akiwa mbunge anafanyaje kama sio Waziri Mkuu? Kwani kuna hoja gani, mbona tumewaona watu wengi tu, Mzee Malechela, tumeona Marehemu Lowassa wanakuwa Mawaziri wakuu na wakaa humu bungeni? Tunamuomba Waziri Mkuu Mkuu arudi Bungeni, arudi, habari ya Vyeo Mungu atajua, yeye arudi bungeni, ni mstaarabu mno.Anafanya kazi usiku na mchana kila Jimbo la Mbunge ameshaenda."
Tunamuombea huko anakotokea arudi bungeni tukaye naye asaidie nchi. Lakini Mheshimiwa Mwenyekiti Waziri Mkuu amepita vipindi vigumu mno, alikuwa amefanya kazi na marehemu Magufuli, amekuja kwa mama amefanya naye kazi amemuonesha kila mahali, nchi leo ipo salama."
Huyu mbunge anaitwa nani?"Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza."
"Sasa mimi nikasikia maneno maneno unajua bwana, eenh! Waziri Mkuu sasa amemaliza vipindi viwili akienda huku sasa, akiwa mbunge anafanyaje kama sio Waziri Mkuu? Kwani kuna hoja gani, mbona tumewaona watu wengi tu, Mzee Malechela, tumeona Marehemu Lowassa wanakuwa Mawaziri wakuu na wakaa humu bungeni? Tunamuomba Waziri Mkuu Mkuu arudi Bungeni, arudi, habari ya Vyeo Mungu atajua, yeye arudi bungeni, ni mstaarabu mno.Anafanya kazi usiku na mchana kila Jimbo la Mbunge ameshaenda."
Tunamuombea huko anakotokea arudi bungeni tukaye naye asaidie nchi. Lakini Mheshimiwa Mwenyekiti Waziri Mkuu amepita vipindi vigumu mno, alikuwa amefanya kazi na marehemu Magufuli, amekuja kwa mama amefanya naye kazi amemuonesha kila mahali, nchi leo ipo salama."
sijui chawa gani huyuHuyu mbunge anaitwa nani?
piko zinawadanganyaAmezeeka astaafu bwana😏
Boniphace Mwita Getere wa Bunda VijijiniHuyu mbunge anaitwa nani?
Duh. Nilijua wabunge wa sampuli hii ni mmoja tu huko Mara yule Waitara. Kumbe wako wengi huko wasiojielewaBoniphace Mwita Getere wa Bunda Vijijini
Huyu Getere na Ile BOXER yake pale Serena anachekeshaVizuri mheshimiwa tutamrudisha ila wewe utamuona TBC
nakazia hapa👿Amezeeka astaafu bwana😏
MATAPELI ninyi.Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema;
"Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza."
"Sasa mimi nikasikia maneno maneno unajua bwana, eenh! Waziri Mkuu sasa amemaliza vipindi viwili akienda huku sasa, akiwa mbunge anafanyaje kama sio Waziri Mkuu? Kwani kuna hoja gani, mbona tumewaona watu wengi tu, Mzee Malechela, tumeona Marehemu Lowassa wanakuwa Mawaziri wakuu na wakaa humu bungeni? Tunamuomba Waziri Mkuu Mkuu arudi Bungeni, arudi, habari ya Vyeo Mungu atajua, yeye arudi bungeni, ni mstaarabu mno.Anafanya kazi usiku na mchana kila Jimbo la Mbunge ameshaenda."
Tunamuombea huko anakotokea arudi bungeni tukaye naye asaidie nchi. Lakini Mheshimiwa Mwenyekiti Waziri Mkuu amepita vipindi vigumu mno, alikuwa amefanya kazi na marehemu Magufuli, amekuja kwa mama amefanya naye kazi amemuonesha kila mahali, nchi leo ipo salama."
Huyo mbunge ni mpumbavu kama wapumbavu wengineMbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema;