PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jeshi gani hilo
 
Machawa bungeni kazi ipo this tume leeeetaaaa manenoooo.
 
Moja ya tabia za watu ambao hamnazo kichwani ni kujikomba. Maana wanajua ndio njia pekee ya kupata ugali.
 
Kazi ya Mbunge ni kuishauri Serikali na sio kuipangia serikali. Haya ni maajabu ya dunia Mbunge anampangia rais wake na wa kumteua kuwa waziri mkuu.
Kwa hiyo wananchi wa bunda ndio wamekutuma hayo;
HUU UNAFIKILISM UTAWAFIKISHA PABAYA.
Kumbukeni kuna maisha baada ya kufa.
 
Rais yupo salama Ikulu anachapa kazi.

Kila nikisikia Majaliwa anatajwa hii kauli siisahau.
 
Tusibishane na VILAZA!

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…