Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
nyie makada muwakanye kwasababu hii tabia wamejifunza huko LumumbaPameibuka tabia ya wabunge wa viti maalumu kuvaa vinyela momo( skin tight) wawapo kwenye vikao vya bunge, hii haikubaliki.
Ukivaa kimnyelala momo basi vaa gauni juu yake ili kulinda heshima na utamaduni wa kitanzania.
Ni angalizo tu.
Momba ni Chadema watupu bwashee!nyie makada muwakanye kwasababu hii tabia wamejifunza huko Lumumba
wanawake wote wanafanana tabia awe mbunge au sio wanapenda sana kunyesha maumbile yao hiyo ndiyo hulka yao !Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
mmezidi kuwachakata hao makada ndiyo maana hadi bungeni wanadhani wapo kwenye vigodoro.Momba ni Chadema watupu bwashee!
Hilo muhimu na hapo kakunja kinoma siunawajua vizuri hao.Nafikiri alikuwa anawaza hivi...."Hee huyu mbaba jamani...looohhh kushadadiaaa"
Hongera kwa kufika SA. Kwa hiyo nasi tuwe kama wao? Rubbish!Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume! Mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokipenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex! Kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini, pls my speaker tembelea bunge la SA uone, wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi, haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Mh mkuu 😳Wengi wapo sokoni hapo ni wewe na pesa ako
Posho zimemzidia anamatani aweke vitu nje!!Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amepata dhahma baada ya kuamriwa kutoka bungeni mjini Dodoma kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha na yasiyoruhusiwa kwenye kanuni za bunge.
Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia aliwaambia askari wa Bunge, kuanzia sasa mbunge yeyote atakaevaa mavazi yasiyo na Staha na kinyume na kanuni waishie getini. Sakata hilo lilianza kwa mbunge mwenzake kuomba muongozo wa spika akimtolea mfano kama mbunge aliyevaa mavazi yasiyo na staha.
[emoji1787][emoji1787] una utani na Mh Zitto[emoji1787][emoji1787]Utakuta huyo ustaadh ni ACT wazalendo!
Ni kweli code za bunge haziruhusu.Mimi sijaona shida ya hilo fazi labda kwa sababu kanuni za bunge haziruhusu, ila maofisini watu wanavaa hivyo
Sema tuwaache wafu wazike wafu wao
Hii comment nimecheka ,zingine nilikuwa na soma na kupita tu.Cheki mifisi ilivyovunja shingo [emoji23]
View attachment 1804619
Utakuwa Rainbow colourMkuu umeongelea SA kuhusu swala la ndoa including za jinsia moja wewe nani kukupa mamlaka ya kuhukumu?mimi nikiamua kuwa guy au lesbian wewe utapungukiwa na nini?bunge letu sheria hizi zimepitwa na wakati kila mtu awe huru kuvaa anachokitaka
Bunge limegeuzwa kuwa jukwa la nirvanaMbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili.
Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia aliwaambia askari wa Bunge, kuanzia sasa mbunge yeyote atakaevaa mavazi yasiyo na Staha na kinyume na kanuni waishie getini. Sakata hilo lilianza kwa mbunge mwenzake kuomba muongozo wa spika akimtolea mfano kama mbunge aliyevaa mavazi yasiyo na staha.
Hahahahaa Mbunge wa chama cha kijaniSafari hii ni wao kwa wao!