Ili wanaumoja party mjipatie nafasi sio 🤔dude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
Asingefanya haraka. Hivi Mwenyekiti wake akitangaza kuwa mchezo mchafu ulifanyika 2020 atajificha wapi?Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Ugoro +petroliMbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
😆😁😄😃😀😅😅😆😁😁Huyu Sanga elimu yake na upeo wake ndio inamfanya kusema hivyo! tumsamehe
Haiwezi kuwa jiwe la gizani,huenda ana ujumbe mahsusi asikilizwe hoja yake na iangaliwe Kwa undani.Huyo kaamua kupigia mstari yanayosemwa kwa kurudia ili labda ujumbe ufike...,
Kwahio anajua kwamba kuna ukakasi / mashaka kuhusu uchaguzi uliopita na uongozi wa sasa ?
Mwisho moto mkali wenye Moshi hatari 🤔Ugoro +petroli
Amekula hadi kavimbiwaWananchi ndio sisi na CCM hatujawahi kuichagua lakini inashinda?
Sasa huo kama sio wizi ni kitu gani. Afunge bakuli lake. Mijizi mikubwa.
Kwa hiyo asipowatengua hao uliowataja, anakuwa hana akili?dude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
Wewe nenda kalie kwenye kaburi la mwendazakedude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani