Mbunge Deo Sanga: CCM ilishinda Uchaguzi Mkuu kwa kishindo, kura hazikuibwa

Tuwe na subira mama Samia atasema yote,ameamua kutubu na kurejea anajua na anakumbuka alivyosema hata msipoichagua ccm, ndio itakayounda serikali. Huyu mkinga anajidai amesahau.
 
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"

Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa

Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Angekaa kimya tu maana wananchi wanajua kila kitu.
 
Huyo kaamua kupigia mstari yanayosemwa kwa kurudia ili labda ujumbe ufike...,

Kwahio anajua kwamba kuna ukakasi / mashaka kuhusu uchaguzi uliopita na uongozi wa sasa ?
Huyu anafahamika kuwa ni mhafidhina wa jiwe na ndio mbunge aliyekuwa akitamka mara nyingi kuwa jiwe aongezewe muda, pia kipindi kile cha mwanzo aliropoka Bungeni na kusema mtandaoni wanadai kinana na kikwete wamemuua Magufuli, anasema huo uzushi wa mytandaoni ili kuupa nguvu, anafikiri kila mtu ni mjinga
 
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"

Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa

Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"

Tulishasema hapa kuna utamaduni wa kujidanganya miongoni mwa watu wengi. Watanzania sio wajinga hivyo wanajua ukweli. Uzuri Rais Samia sio mtu wa kujidanganya na hii ndiyo itatusaidia sana kwenye majanga haya ya siasa
 
CCM haikushinda uchaguzi kama anabisha amuulize kada mwenzie Steve nyerere
 
dude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
Mbona kama wewe ndiyo huna akili
 
dude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
Mkuu mbona una chuki sana na hao Mawaziri wateule?
 
Kuna wakati natafakari, ni kw jinsi gani nchi hii ilivyojaa wasomi wa political science walivozubaa na hatimae WBunge wavivu kufikili kuingia bungeni..na kutema pumba za Namna hii.Maaskofu,wasomi waadilifu,wazee wadilifu ,maimamu mashehe na wananchi walioona kwa macho yao unyang,anyi wa kura wamesema mchana kweupe juu ya uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Mbunge huyu akapimwee njeleelee kichwani !!
 
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"

Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa

Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
We Sanga ni jizi tena lipumbavu likisha vuta bangi linaropoka ropoka tu haya rais wako na Mungu wako yuko wapi.
 
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"

Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa

Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Huyo ni kichaa mwingine kama Magufuli
 
ifike mahali tuache kuropokaropoka tuonyeshe vitendo, wananchi wanahitaji huduma siyo porojo
 
Kuna wakati natafakari, ni kw jinsi gani nchi hii ilivyojaa wasomi wa political science walivozubaa na hatimae WBunge wavivu kufikili kuingia bungeni..na kutema pumba za Namna hii.Maaskofu,wasomi waadilifu,wazee wadilifu ,maimamu mashehe na wananchi walioona kwa macho yao unyang,anyi wa kura wamesema mchana kweupe juu ya uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Mbunge huyu akapimwee njeleelee kichwani !!
Ifike wakati ndugu zetu wa Makambako mjitafakari
 
Hii nchi kwa kulalamika!!!? Wakishinda wanalalamika, wakishindwa wanalalamika!
Nchi ya ovyo sana hii
 
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"

Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa

Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Anajitekenya mwenyewe...
 
Back
Top Bottom