Mbunge Deo Sanga: CCM ilishinda Uchaguzi Mkuu kwa kishindo, kura hazikuibwa

Mbunge Deo Sanga: CCM ilishinda Uchaguzi Mkuu kwa kishindo, kura hazikuibwa

Huyo hakuna haja ya kujadili anachoropoka.

Ni very low IQ. Hajawahi kuongea cha maana, ni mjinga kupindukia. Huyu hawezi kuchaguliwa, wakati wote ametegemea kura za wizi. Ukizuiwa wizi wa kura, kamwe hatakuja kugusa tena bunge.
 
Huyo hakuna haja ya kujadili anachoropoka.

Ni very low IQ. Hajawahi kuongea cha maana, ni mjinga kupindukia. Huyu hawezi kuchaguliwa, wakati wote ametegemea kura za wizi. Ukizuiwa wizi wa kura, kamwe hatakuja kugusa tena bunge.
Kwahiyo ni wale wakuhamisha ofisi ya kupokea fomu za wagombea wengine,au wakupora fomu au kuteka wagombea sio ili Ionekane hakuna mshindani na hatimaye kutangazwa kupita bila kupingwa sio😜
 
Kwahiyo ni wale wakuhamisha ofisi ya kupokea fomu za wagombea wengine,au wakupora fomu au kuteka wagombea sio ili Ionekane hakuna mshindani na hatimaye kutangazwa kupita bila kupingwa sio[emoji12]
Huyo ni wa hivyo hasa. Hawezi hata kuandika japo sentensi moja yab Kiswahili iliyonyooka.

Huyu huwa ni wale wa Polisi na wakurugenzi. Magufuli alimfaa sana huyu kwa sababu anapenda kuwa kiongozi bila ya kuchaguliwa.
 
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"

Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa

Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Wenye vichwa vya duara huwa akili zao zina matatizo sana
 
Kazi ya Kwanza ya Sanga ilikuwa kuiba kwenye malori Makambako na alikuja kukiri baada ya kuwa mbunge
 
Makambako mji wa wajanja ila kwa huyu Deo mlichemka.Kura hazikuibwa yeye si alikuwa mpigiwa kura tu
 
Back
Top Bottom