Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumsikiliza mwendawazimu, lazima uwe huna la kufanya.Haiwezi kuwa jiwe la gizani,huenda ana ujumbe mahsusi asikilizwe hoja yake na iangaliwe Kwa undani.
Kwahiyo ni wale wakuhamisha ofisi ya kupokea fomu za wagombea wengine,au wakupora fomu au kuteka wagombea sio ili Ionekane hakuna mshindani na hatimaye kutangazwa kupita bila kupingwa sio😜Huyo hakuna haja ya kujadili anachoropoka.
Ni very low IQ. Hajawahi kuongea cha maana, ni mjinga kupindukia. Huyu hawezi kuchaguliwa, wakati wote ametegemea kura za wizi. Ukizuiwa wizi wa kura, kamwe hatakuja kugusa tena bunge.
Huyo ni wa hivyo hasa. Hawezi hata kuandika japo sentensi moja yab Kiswahili iliyonyooka.Kwahiyo ni wale wakuhamisha ofisi ya kupokea fomu za wagombea wengine,au wakupora fomu au kuteka wagombea sio ili Ionekane hakuna mshindani na hatimaye kutangazwa kupita bila kupingwa sio[emoji12]
Nadhani ni lile lilikuwa linakata mauno kwenye BMKZezeta mkubwa hyo
ndio mbunge wamakambakoNadhani ni lile lilikuwa linakata mauno kwenye BMK
Wenye vichwa vya duara huwa akili zao zina matatizo sanaMbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Wananchi ndo sisi Kila siku tunaichagua CCM na inashinda.
Signature yake ni ya dole gumba,atawezaje kusoma hiyo ripoti ya CAG!!!???huyu anaweza hata kusoma ripoti ya CAG kweli huyu?
Tena Hilo jambawazi kubwa la Makambako likae kimyaaaah! Nyambafu kabisa!Wananchi ndio sisi na CCM hatujawahi kuichagua lakini inashinda?
Sasa huo kama sio wizi ni kitu gani. Afunge bakuli lake. Mijizi mikubwa.
Hili halina ubishi hata kidogoWizi wa kura ndiyo oxygen ya CCM.