mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
dude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
Wananchi ndo sisi Kila siku tunaichagua CCM na inashinda.Wananchi ndio sisi na CCM hatujawahi kuichagua lakini inashinda?
Sasa huo kama sio wizi ni kitu gani. Afunge bakuli lake. Mijizi mikubwa.
Angekaa kimya tu maana wananchi wanajua kila kitu.Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Huyu anafahamika kuwa ni mhafidhina wa jiwe na ndio mbunge aliyekuwa akitamka mara nyingi kuwa jiwe aongezewe muda, pia kipindi kile cha mwanzo aliropoka Bungeni na kusema mtandaoni wanadai kinana na kikwete wamemuua Magufuli, anasema huo uzushi wa mytandaoni ili kuupa nguvu, anafikiri kila mtu ni mjingaHuyo kaamua kupigia mstari yanayosemwa kwa kurudia ili labda ujumbe ufike...,
Kwahio anajua kwamba kuna ukakasi / mashaka kuhusu uchaguzi uliopita na uongozi wa sasa ?
Anapiga TU U turn kwani wanasiihasa hawaoni hata aibu.Asingefanya haraka. Hivi Mwenyekiti wake akitangaza kuwa mchezo mchafu ulifanyika 2020 atajificha wapi?
Amandla...
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Mbona kama wewe ndiyo huna akilidude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
Mkuu mbona una chuki sana na hao Mawaziri wateule?dude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
We Sanga ni jizi tena lipumbavu likisha vuta bangi linaropoka ropoka tu haya rais wako na Mungu wako yuko wapi.Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Huyo ni kichaa mwingine kama MagufuliMbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
ifike mahali tuache kuropokaropoka tuonyeshe vitendo, wananchi wanahitaji huduma siyo porojoMbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Aliachia shule darasa la pili, halafu anaalikwa kutunga sheria za nchi na kupitisha mikatabaHuyu Sanga elimu yake na upeo wake ndio inamfanya kusema hivyo! tumsamehe
Mungu naye ameshatuchoka na upuuzi wetuMaza kasema atafanya uchaguzi wa haki 2025, hata kama utamcost kiti chake.... Ngoja tuone hao akina Sanga kama hawataomba po.
Ifike wakati ndugu zetu wa Makambako mjitafakariKuna wakati natafakari, ni kw jinsi gani nchi hii ilivyojaa wasomi wa political science walivozubaa na hatimae WBunge wavivu kufikili kuingia bungeni..na kutema pumba za Namna hii.Maaskofu,wasomi waadilifu,wazee wadilifu ,maimamu mashehe na wananchi walioona kwa macho yao unyang,anyi wa kura wamesema mchana kweupe juu ya uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Mbunge huyu akapimwee njeleelee kichwani !!
Anajitekenya mwenyewe...Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"