Mbunge Dkt. Lugomela: Bungeni Tunakula Msoto, Nashindwa Hata Kulipa Ada za Watoto, ukipata Uspika au Kamati mambo yako mazuri

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
 
"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaidafisa wa kawaidaa kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Nani kamkataza kurudi huko kwenye ajira yake au kuwa afisa wa kawaida
 
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Muongo huyo..
 
MUONGO HUYO. HUYO MWONGO.
 
Muongo huyo. asikwepe majukumu yake ya kifamilia. Tatizo Wabunge wa CCM ni waongo waongo, wachawi wachawi, wachoyo wachoyo na ni wezi wezi
 
Naandika nikiwa na Masikitiko Makubwa sana Juu ya Taifa langu na Selikali hii ya Awamu ya sita.
Mimi ni Mtumishi wa Mungu nitaandika kwa Kifupi sana.

Mungu alimpa Musa Torati na ndani yake Kulikuwako Sheria Amri na Hukumu, kuwaongoza wama wa Islael.

Amri zake zilikuwa kumi ambazo nimeziona zote zikivunjwa na selikali ya Tanzania, Lakini zaidi naona nyingine zikivunjwa wazi wazi bila hofu wala Uoga.

1. UONGO.
Kila kitu kinachofanywa na hawa watu ni Uongo wa wazi kwa kisingizio cha Propaganda.
Mnawakwaza sana watu hata ambao hawana upande mnawapeleka upande wa haki, Mnajichimbia kaburi kwa Maneno ya Uongo.

2. USIUE.
Hii ni amri ya Mungu inayikataza kufanya Mauaji juu ya Binadamu mwenzio.
Selikali hii imekuwa Ikiua Raia, October 29, Ikiteka, Ikitesa nk

3. WIZI.
Hawa ni Majizi wa kura.
Wanaiba kura kwa kushirikiana na waalimu, polisi na wakurugenzi kuiba matokeo ambayo si halali.
Wanawanyima watanganyika Uhuru wa kuchagua kiongozi wanaye mtaka. Wanawaibia utajili Shahabu, Madini Gas nk
Mungu alikuwa na Makusudio yake kuviweka hapa Tanzania

ACHA DHAMBI, ACHA UONGO. MAGUFULI NILIMWAMBIA HIVI HIVI.

MENE MENE TEKELI NA PERESI
 
Back
Top Bottom